mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Daaah mimi ni muathirika mmojawapo nashukuru niliwahi kujitoa
Mashine za kamari ziliruhusiwa kufanya kazi nchini kipindi cha Rais mstaafu Mzee Mwinyi a.k.a Ruksa!CCM hapa tunaionea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah mimi ni muathirika mmojawapo nashukuru niliwahi kujitoa
Mashine za kamari ziliruhusiwa kufanya kazi nchini kipindi cha Rais mstaafu Mzee Mwinyi a.k.a Ruksa!CCM hapa tunaionea
Umeacha kuongelea mambo ya maana unaongele mabonanza na pombe kali. Kibaya zaidi unaihusisha CCM yenye viongozi waliokosa DIRA eti ndo watatue changamoto hizoWalimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza.
Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali.
Wanasahau familia zao na kutoa matumizi.
CCM ipo kimya. Watumishi wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
Hii kitu iingie kwenye ilani ya chama, 2025.Sasa unataka serikali au ccm iwafundishe watu kutunza familia zao??.
Ha haa. Kile kisahani cha kutolea hela ndio kinachonifurahisha.Mtu akishakuwa addicted wa kucheza hizo kamari hawezi kujinasua mwenyewe ! Ile milio na rangi rangi zinazotokea kwenye mashine za kamari mtu anapozungusha zimeteñgenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu wa kumfanya mchezaji awe teja wa hizo mashine !!
Pumbavu mkubwa.Ila waafrika tunapenda kujiendekeza mambo ya kipumbavu yaani mtu mzima una jiita msomi una subiri CCM ije ikuelekeze ni namna gani ya kutunza familia?
Yaani hii ccm iliyo shindwa kutatua kero kama umeme na maji kwa miaka 60 ya uhuru ndo ije kuhangaika na saikorojia ya mtu aliye endekeza upumbavu.
Alafu kingine pombe na kamari mnavisingizia tu, kitu kinacho maliza hela za watz kwa sasa sio kwa wazee wala vijana ni uzinzi.
Hivi kijana anapokea mshahara wa 500,000 alafu wakati huo ana familia ya mke na watoto watatu lakini wakati huo huo ana michepuko mitatu unategemea nn zaidi ya kuitesa familia?
We ni mpumbafuHili nalo ni janga kubwa sana katika jamii,
Mleta mada anza na familia yako kuwapa elimu kuhusu janga hili,
Kila mtu anayeona kua hili jambo ni hatari basi atoe elimu kwa jamaa zake wa karibu,
Tuanzie hapo kwanza.
Huna akiliUmeacha kuongelea mambo ya maana unaongele mabonanza na pombe kali. Kibaya zaidi unaihusisha CCM yenye viongozi waliokosa DIRA eti ndo watatue changamoto hizo
Binti ungetafuta maembe mabichi utafune, yatakusaidia kupunguza kutapika hovyo.We ni mpumbafu
Ongezea bangi, rizla, sigara kali, mirungi, na ngada,taifa la pombe, pool table, mziki na kamari. wacha inyeshe
Ajabu sana hii yaani afisa kilimo akose kazi ya kufanya daaah.Kuna Afisa kilimo aliajiriwa katika kijiji fulani,si unajua hawa jamaa hawanaga kazi sana na ofisi zao huwa zipo nyumbani anapoishi
Kutokana na kutokuwa na kazi ya kufanya,yeye akaona acheze makamali akihisi yanaweza kumuongezea kipato,alianza na mabonanza akawa anashinda nayo,alivyoona anapigwa sana akahamia kwenye kamali za mpira huko nako akawa ni wa kupigwa tu,unamkuta ana makaratasi kibao kama mwehu
Inasoma ubaoni. Usicheze na world CupAsije akauza pikipiki tuliyompa mwaka jana [emoji23][emoji23]
Kuna mwamba alikula 16200. Aisee hizo kelele zake utadhani nguruwe anakula sugarcane, au mbwembwe za chawa akiwa anataka kununuliwa bia au anaomba mkopoHa haa. Kile kisahani cha kutolea hela ndio kinachonifurahisha.
Ikidondoka mia mbili. Inadondoka kwenye ngazi kama tatu hivi. Kwa hiyo mtu akila mia mbili, anakuwa kama amekula mia sita.
We uliyekaa karibu ukisikia hile mlio unajua jamaa amepuna kinoma!
Acha matusi mjinga ww maana ni dalili za ugonjwa wa akili yaani majitu mazima mnataka mdekezwe kama watoto ?ya kwamba serikali imekosa mambo ya kufanya mpaka ianze kuajili wanasaikolojia kwa ajili yenu?Pumbavu mkubwa.
Hakuna sera madhubuti za kupaisha vipato vya watumishi.Tusisingizie serikali kwenye makosa yetu wenyewe.
Ni sawa na tunavyomsingizia Shetani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app