Uraibu wa kamari za Kichina, mabonanza na pombe kali unazidi kumaliza watumishi wa umma. CCM ipo kimya

Safi sana waache waendelee hivyo hivyo ili tuwale wake zao kimasihara
 
Huna akili
Unatakiwa ujishangae, yaani tuanze kujadili mabonanza tuache kujadili uhaba wa maji safi, umeme ndo kama hivyo, maeneo mengi ya nchi hata mijini barabara mbovu, maisha ni magumu, mfumuko wa bei usipime. Wewe utakuwa ndo wale wanaotafutwa na madakitari wa Milembe nyumba kwa nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…