Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Nna uhakika unaugua sio bure,
 
Hana lolote ni walewale tu yule mwingine alikuja kwa mbwembwe akatuacha na shida zetu kama kawaida
Huyu anaesema twende na membe ni chizi kabisa mijitu mengine ipo tu hapa duniani anamjua membe yeye au anamsikia tu
 
100% true, ila naongezea kidogo hapa....ya kwamba hawa wazee yaani Membe ,Lowassa na genge lake kwamba hii mbinu ya systems imeisha pitwa na wakati.
Sasa wananchi wengi tunaelewa hizi mbinu za mafuriko hewa na sasa friends of membe and the so & so.[emoji1787]
 
Huyu mzee ukiisikiliza anavyojibu maswali kwenye mahojiano utagundua anatumia akili sana na ana karama za kiuongozi.
Ni mtu anayeifahamu dunia na exposure ya kutosha
Lakini pia Ni mtoto wa mjini Hana ushamba ushamba na ulimbukeni naona bado mawazo yake yanahitajika ili kuiletea Jamii kubwa maendeleo stahiki
 
Tunasubiri achukue form tu mwaka 2020, tumechoka utawala wa vitisho watanzania...
 
Hahaa " Mmeanza Tena !!! Kwa hiyo mna mwambiaje Katibu wenu mkuu !!?

Lakini msisahau kulipia Tangazo
 
hahaha wameanza kumtishia rais wetu na katibu wake.
Hawa watu sio watu wazuri" wanataka jiwe apate stroke kule alipo !!!? Maana ata deal na mangapi sasa !! Makada wa vyama pinzani bado wana mtoa roho ".. koro- show bado zinamtoa roho ".... then wanaibuka na hawa tena mbaya zaidi wanatoka ndani ya chama Wanaanza kuleta haya mapicha mapicha "........ ila kauli ya Katibu wao ya jana imeniacha hoi sana
 

Sio mropokaji, kichwani yupo vizuri. Ukimlinganisha na the so called Dr, ni sawa na kulinganisha Kitonga na mlima Kilimanjaro
 
Mara hii Membe amekuwa kipenzi wa majizi Chadema wanamsafisha kama walivyofanya kwa Lowasa
 
Magu Ni Mpaka Miaka Kumi Iishe Ndiyo Afikiriwe Mwingine. Hata Huko Upinzani Watajisumbua Bure Kugombea. Labda Iwekwe Wazi Tu Uchaguzi Mkuu Ufanyike 2025. Huu Wa 2020 Una Impact Tu Kwa Wabunge Kwa Urais Hakutakuwa Na Mabadiliko Ikiwa Aliyepo Atagombea Kwa Mujibu Wa Katiba Ya Chama Chake Kinachompa Mihula Miwili Kugombea Urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…