Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Kwanini tusimweke Joti ama mchizi mox urais? Am sure utawala wao utakuwa na tija kuliko haya miphd Na mimaster holder ya kukariri iliyoshindwa kudeliver
Ana diplomasia gani hiyo mbona wakawaida sana au watu hawamjui si uangalie clip za hunger anavyokuaga na tempa na kupanic, mfano ishu ya ziwa nyasa,
Tukaletewa kichaa!
na kweli
 
Natamani jiwe kichaa kimpande amfukuze uanachaka Membe!!

Utakuwa mwanzo mzuri kwake kuingia magogoni 2020
 
Jiwe alidhani Bongo ni kama Rwanda, kwamba ukidhibiti wapinzani upinzani ndiyo umekwisha!.Linchi likubwa hili utanzia wapi kuthibiti sauti huru?, Unaweza kudhani umethibiti kote huko nje lakini ukashangaa ndani ya nyumba yako mwenyewe mwanao mdogo kabisa akakwambia baba hufai, wewe siyo kama fulani!
 
Tuachwe tuamue.wewe umeridhika na utawala huu wa kutekana na mauaji ya holela? Biashara zimekufa, uchumi umeshuka hali za maisha ya wa Tanzania ni mbaya kama tupo miakaya Uhuru. Hakuna Uhuru wa kisiasa, maslahi ya wafanyakazi hakuna, wastaafu wanaibiwa mafao yao, wapinzani wanaishia magerezani,hakuna kukohoa wala kukosoa. Huu siyo utawala bora na watanzania hatukuyataka haya.
 
Watu pia wahamasishwe jupiga kura maana nahisi wengi wamekata tamaa wanaweza wasiende siku ya kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…