Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Utaratibu huo ulikuwepo hata kwa awamu zilizopita sema umesahau, mfano mbatia aliteuluwa kuwa mbunge na JK
Alijivua ubunge huko atakako? Halafu alisomeka kama mbunge wa ccm?
 

Ondoa uwongo wako hapa kijana mdogo
Usitulishe matango pori
 
Membe anaonekana bora kwasababu ya mapungufu ya aliyepo. Membe hatoshi kukalia kiti lakini kwakuwa CCM iliharibu kwa kuweka mtu asiyefaa, inamfanya Membe kuonekana anafaa kuliko aliyepo.
Lakini pia kajipanga kipropaganda na anaifahamu vema nguvu ya mitandao ya kijamii... Hivyo katengeza network yake
 
Ipo siku mtaelewa kwa nini wahenga walisema...”Baniani mbaya kiatu chake dawa”
Baniani yupi unayemwongelea? Kama ni JPM naomba unisamehe, namjua tangu akiwa mwalimu. Tafuta comments zangu tangu 2015 utaelewa. Bora Mrema Augustine kuliko huyo Mr. Haambiliki.
 
atapigiwa chapuo kama hivi.
na kama ikitokea akazinguliwa na chama chake, atahamia kile chama kingine ,,
na ikiwezekana wakampa ugombea kama yule, then atafanya kama yule mwenzake.

lengo linabaki pale pale,
your candidate is their own.
 
Kumbe bado wapo watanzania wenzangu wenye mawazo chanya kama haya! Nilidhani hatuzidi 1000 tunaofikiri kama we we.

Kibaya zaidi hata wale wanao jiita Great Thinkers wengi wameingia mtego wa mafisadi uchwara wa CCM na upinzani wanaotaka aondoshwe Magufuli awekwe mtu atakae waacha wafilisi nchi kama enzi za JK.
 
Fact mkuu..
 
Wachakwanza apambane na jiwe,halafu tunamsubiri akimshinda jiwe atapambana na Rais wa wananchi Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…