radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Alijivua ubunge huko atakako? Halafu alisomeka kama mbunge wa ccm?Utaratibu huo ulikuwepo hata kwa awamu zilizopita sema umesahau, mfano mbatia aliteuluwa kuwa mbunge na JK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijivua ubunge huko atakako? Halafu alisomeka kama mbunge wa ccm?Utaratibu huo ulikuwepo hata kwa awamu zilizopita sema umesahau, mfano mbatia aliteuluwa kuwa mbunge na JK
Ulikuwa miongoni mwa wajenga hoja humu JF lakini siku za karibuni uwezo wako umeshuka sana labda kwa vile uwezo wa ccm kujenga hoja pia umeshuka hivyo timu nzima kiwango kimeporomoka hakuna wa kumwinua mwenzake. Unaposema hakuna wa kumsumbua JPM kwa sasa wakati tetesi tu za kujitokeza kwa Membe zimemuibua Katibu mkuu wa CCM utabaki unachekesha walionuna. Kwa taarifa yako JPM anasimbuka tena anasumbuka si kidogo, na hapa BM hajatoa tamko rasmi na udikteta wa siasa za majukwaani bado unaendelea subiri zifumuke utajificha chooni.
Hapo mwisho umesema labda Mungu atende yake kuhusu JPM, nadhani ulimaanisha Mungu amchukue mja wake. Kwa taarifa yako na hili liko wazi tangu tupate Uhuru huyu ni Rais wa kwanza wa JMT kuombewa na wananchi wake ni "bora afe tuchague mwingine". Kiongozi mwingine aliyewahi kuombewa hivyo ni Rais wa Zanzibar kipindi hicho mzee KOMANDO Salmini Amour. Kama hali imefika hapo kwa huyo uliza hali ilikuwaje Zanzibar wakati wa Komando hadi ukafikia wananchi kuchukia uhai wa kiongozi wao?
Lakini pia kajipanga kipropaganda na anaifahamu vema nguvu ya mitandao ya kijamii... Hivyo katengeza network yakeMembe anaonekana bora kwasababu ya mapungufu ya aliyepo. Membe hatoshi kukalia kiti lakini kwakuwa CCM iliharibu kwa kuweka mtu asiyefaa, inamfanya Membe kuonekana anafaa kuliko aliyepo.
Baniani yupi unayemwongelea? Kama ni JPM naomba unisamehe, namjua tangu akiwa mwalimu. Tafuta comments zangu tangu 2015 utaelewa. Bora Mrema Augustine kuliko huyo Mr. Haambiliki.Ipo siku mtaelewa kwa nini wahenga walisema...”Baniani mbaya kiatu chake dawa”
Tafuta comments zangu kuhusu nchi hii ndo utajua Mimi ni kijana Mdogo au nimekomaa kifikra.Ondoa uwongo wako hapa kijana mdogo
Usitulishe matango pori
Saivi tushasahau mambo ya vikokotoo vya pensheni,tuko bize series ya Membe sababu imetoka season 2.Wazeee wanataka 25% iende serikali 75% muwapatie..
Acheni chenga chenga
Tutaripa geshi.Ule uwanja wa ndege uliojengwa kule chattle tutaufanyaje? Nao utafaa kupigwa bei?
Zero brain, Mbatia alihongwa arudi ccm ili ateuliwe?Utaratibu huo ulikuwepo hata kwa awamu zilizopita sema umesahau, mfano mbatia aliteuluwa kuwa mbunge na JK
ni sehemu ya uozo uliopitaHatoshi, alijaribiwA lini?
Ana watu wake wengi tu, kwa sasa tunatakiwa kupata rais atakayeleta umoja wa kitaifa.Lakini pia kajipanga kipropaganda na anaifahamu vema nguvu ya mitandao ya kijamii... Hivyo katengeza network yake
Ulapo na kipofu usijaribu kumshika mkono...
Hapana hawana hiyo nguvu tena wenyewe wanapumulia mashineMi hofu yangu isiwe vice versa tu, ukawa ni mpango wa CCM kuwavruga wapinzani
Na wewe unadhani hajachoshwa na rundo la mafaili kitandani kwake?Unadhani jiwe atakubali kutoka, uraisi mtamu wewe
Unajaribu vipi kitu unachoona hakifai?! Yaani unajua kabisa gari mkweche hata kuwaka haliwaki, ila unang'ang'ania kuliwasha!!Hatoshi, alijaribiwA lini?
Kumbe bado wapo watanzania wenzangu wenye mawazo chanya kama haya! Nilidhani hatuzidi 1000 tunaofikiri kama we we.mimi si mfuasi wa siasa za Tz maana ndizo zimetufikisha hapa lakini lazma nitoe mtazamo wangu kwa hili.
Membe anaweza kuwa na haiba ya Kikwete ambaye kwa kipindi hicho naye alipwaya (japo anasafishwa kutokana na madhaifu ya aliyepo), lakini Membe hana uwezo ambao kikwete alikuwa nao.Wakati akiwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa hakuwa fanya kitu cha mshangao na alipokuwa akihojiwa sikuona substance na charisma ya kiuongozi simply alibebwa na mfumo ila alikuwa na uwezo hafifu..
Akheri kwa sasa tunabanwa lakini kuna projects zinafanyika ambazo unaona dhahiri kizazi kijacho kitanufaika ila kumpa nchi Membe ni risk iliyopo dhahiri..
Kwangu mimi Rais ambaye anatakiwa kumrithi Magufuli ni lazma awe mafia yaani aweze kuwa economical diplomat(sio mambo ya kutabasamu hovyo na kusema hawa ni marafiki zetu toka uhuru), Strategist, atakayekubali katiba mpya , visionary, mwenye upendo na uchungu na nchi hii na kadhalika..
Vigezo vyote hivyo Membe hana hata kimoja zaidi ya uswahiba na kufananishwa na Kikwete
Fact mkuu..Ulikuwa miongoni mwa wajenga hoja humu JF lakini siku za karibuni uwezo wako umeshuka sana labda kwa vile uwezo wa ccm kujenga hoja pia umeshuka hivyo timu nzima kiwango kimeporomoka hakuna wa kumwinua mwenzake. Unaposema hakuna wa kumsumbua JPM kwa sasa wakati tetesi tu za kujitokeza kwa Membe zimemuibua Katibu mkuu wa CCM utabaki unachekesha walionuna. Kwa taarifa yako JPM anasimbuka tena anasumbuka si kidogo, na hapa BM hajatoa tamko rasmi na udikteta wa siasa za majukwaani bado unaendelea subiri zifumuke utajificha chooni.
Hapo mwisho umesema labda Mungu atende yake kuhusu JPM, nadhani ulimaanisha Mungu amchukue mja wake. Kwa taarifa yako na hili liko wazi tangu tupate Uhuru huyu ni Rais wa kwanza wa JMT kuombewa na wananchi wake ni "bora afe tuchague mwingine". Kiongozi mwingine aliyewahi kuombewa hivyo ni Rais wa Zanzibar kipindi hicho mzee KOMANDO Salmini Amour. Kama hali imefika hapo kwa huyo uliza hali ilikuwaje Zanzibar wakati wa Komando hadi ukafikia wananchi kuchukia uhai wa kiongozi wao?