Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Ccm safari hii watamchukia kila mtu maana watu wameamua kusema ukweli na kama mbwai iwe mbwai
 
Ikiwa huyo mtu ni mwanachama wa kawaida kinachowatia kiwewe nini sasa, wamuache kama alivyo. Naona jamaa amewajambisha hatari.
 
Abhaandu bhoope finyamaana kookujha
Ugomvi ukitokea Kati ya watawala na walioonja utawala si ugonvi wa kuuchekelea, maana kitakachotokea kila mtu atajuta. NI wakati wa kuiweka nchi kwenye MAOMBI si wakati wa USHABIKI. Hapa Ndipo inapohitaji hekima na akili. USHABIKI wenu usituangamize.
 
Ugomvi ukitokea Kati ya watawala na walioonja utawala si ugonvi wa kuuchekelea, maana kitakachotokea kila mtu atajuta. NI wakati wa kuiweka nchi kwenye MAOMBI si wakati wa USHABIKI. Hapa Ndipo inapohitaji hekima na akili. USHABIKI wenu usituangamize.
Isije ikatokea ya kashoggi
 
Bashiru ana mihemko, anahisi nafasi yake iko matatani. Unafanya mchezo na mshahara wa milioni 10, nyumba, usafiri ada za watoto, matibabu na mengi kama hayo. Unafikiria anatamani kurudi kwenye miti mingi pale mlimani, pasipo na heshima yoyote? Muache aendelee kulinda maslahi yake binafsi. Ila iko siku atakumbuka kuwa mchezo anaoucheze ni hatari kwake binafsi na hao wanaomtuma.
 
Hahaha sasa yeye sindiye alianza kumsema sema huyo anayeitwa Membe?! Unamtukana mtu tweeter eti akikujibu hukohuko tweeter unasema hana nidhamu.
Angempigia simu wakaongea sisi tungejuaje kama wameongea?! Umbea wake tu kutafuta kiki.
 
Kilichomwangusha 2015 amekiondoa? btw. siku hizi ana akili timamu? Mtamponza kama Mwandosya alivyolewa maoni ya mitandaoni akachukuwa fomu na kuishia kushindwa kutoa hata hotuba ya kumpa ushindi.
 
Picha ya Uchaguzi Mkuu 2020 imeshaanza kutengenezwa. Huku kuweweseka kuna maana kubwa sana...!!
CCM safari hii watajuta kutumia mbinu za kimafia kumwingiza Magufuli Ikulu. Lazima wajue kuwa Bernad Membe alikuwa ni Rais wa chaguo la Watanzania wengi baada ya Lowassa kuchinjiwa baharini...!!!
Nani alikuwa anamjua Magufuli zaidi ya unyampara wa kusimamia mabarabara? Watu waliotegemewa kuingia Ikulu walikuwa aidha Lowassa au Membe na siyo Magufuli...!!!
2020 ni mwaka wa balaa kwa Uchaguzi ndani ya CCM. Watavurugana, watachinjana na watasambaratika. Kwa mara ya kwanza katika historia Magufuli anaweza kuishia term moja tu ya miaka 5. Katiba yao inaruhusu. Siyo lazima kuwa Rais anayechaguliwa kipindi cha miaka 5 lazima akamilishe miaka 10....!!!Siyo lazima.....anaweza kuishia 5 na akaingia mwingine kumalizia 5 na itakuwa poa tu mbona..!
 
Wacha tuongeze maadui na uhasama itapendaza zaidi.
 
Bashiru amesema hana akaunti twitter, facebook wala wapi. Hiyo tweet imetoka wapi.
 
Mbowe ana kofia tatu ni mbunge,kiongozi wa upinzani bungeni Na mwenyekiti wa Chadema Taifa.Mwambie avue kofia ya uenyekiti abaki Na ubunge

Kinakuumiza nn MBONA WW UNAMPENZI ZAIDI YA MMOJA ILA HUTAKI BAKI NA MMOJA DAH
 
Mimi ningekuwa Kàtibu, ningemuita tu namuuliza anazijua taratibu na kanunu za chama???

Membe anatumiwa, baaada ya Nyarandu kushindwa CIA wameamua kumtumia Membe.

"bad elements must be eliminated" hakuna namna, aunde chama chake, CCM aliikuta aiache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…