Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

mimi sishabikii ccm ila membe 2020 akichukua itakua poa sana kwasababu
.
huyu wa sasa hatufai hata kwa tone
.membe ataleta ajira ambayo ndio roho ya nchi
.
.
Membe ataimarisha democracy

.Mambo ya kutekwa yataisha
.
udikteta utapunguwa
.
.
Hakuna cha maana alichokifanya magufuli zaidi ya kutuumiza kiuchumi amefanya lipi la maana???bora membe tu

.

Siungi mkono ccm ila 2020 member akipitishwa kama mgombea nipo tayari kumpa kura yangu labda hali itaimarika magufuli hatumtaki wala hatufai hakuna cha maana alichofanya toka amechaguliwa,,,,,,he is doing nothing 0%

magufuli alichokifanya ni nothing jiwe ni sifuri lizero kabisa
 
Haya Kaka,
Ngoja niwahi siti ya mbele kabisa ili kila anaeingia humu nimuone vizuri.
 
Kama ni mwanachama wa kawaida angemuagiza katibu tawi amuhoji.
 
Ni utawala gani ajira haikuwa tatizo?
Ukute wewe mtu wa chadema ila unaipigia ipatu ccm na membe, hivi ndio maana tunaambiwa ccm itatawala maisha. Wakicheza na akili za watu tu basi husahau kila kitu.
Ccm yoyote hafai. Hata lissu akienda ccm hafai. Acheni ubwege.
 
Kwa hiyo taratibu za chama haziruhusu democracy ndani ya chama ?! Mnapata wapi moral authority ya kuvisema vyama vingine kuwa havina democracy .

Pili KM kamuita kwa njia hiyo ya mitandao, kosa liko wapi naye akijibu kwa njia hiyo ya Twitter ?!

Africa bado sana mambo ya democracy
 
Hahaha mzee wa tehran
 
Halafu wapiga mbinja huku mitandaoni wanamhusisha membe na chadema
 
Hata mshikamo ktk taifa jiwe katugawa sana na kaleta chuki kuliko wakati wwote
 
Hii inatokana na kudumisha kwanza katiba ya chama haikatazi kila mwanachama ana haki kuomba chama kumteua kugombea nafasi mbali mbali za kiserikali kama udiwani,ubunge,urais nk


Lakini pia kumuunga mkono mwenyekiti wetu Wa chama Taifa ambae anataka ccm mpya kwa maana kuondokana na utamadumi Wa kuminya demokrasia ndani ya ccm uliokuwa unafanywa na wenyeviti Wa ccm waliopita

Zaidi ya hapo ni kutaka kuleta ccm yenye demokrasia kwa kila mwanachama wake lakini pia kuwaonyesha wapinzani kuwa ccm kunademokrasia ya kweli

Maana lipumba anagombea peke yake huko cuf,maalim seif halikadhalika anagombea peke yake na huko chadema ndio hakusomiki kabisa hivyo ni wakati Wa ccm mpya kama tunavyo inadi

Lakini pia kama ambavyo viongozi wetu wakitaifa wanavyo nadi kwa wanaccm kuwa sasa ni ccm mpya

Ahsante

Mudhihiri Achimwene

Mjumbe Wa kamati ya ccm mkoa Wa Lindi

Kwaniaba ya wanaccm Wa mkoa Wa Lindi
 
Hahahaha dah, kule #KaziNaBata huku TwendeNaMembe aisee. Ukuta umepigwa ngumi za maana huko.

Nyakati kama hizi ndio kina Nape wangefiti kwa fitna ila yuko benchi. Nadhani jamaa alikuwa na team ya mtandaoni humu kina lizaboni, ritz, malaria sugu ila now kuna ISIS WALAHI
 
Hizi ni dalili za Chadema kuishiwa pumzi kabisa........ Hata mwenezi umekurupukia CCM!
 
Kwani John Pombe si alibadilisha katiba kua Mwenyekiti ndo huyo huyo Mgombea ama imekuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…