Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa!!!Ndiisi ameenye kyala
sije ikatokea ya kashogg
Haya Kaka,mimi sishabikii ccm ila membe 2020 akichukua itakua poa sana kwasababu
.
huyu wa sasa hatufai hata kwa tone
.membe ataleta ajira ambayo ndio roho ya nchi
.
.
Membe ataimarisha democracy
.Mambo ya kutekwa yataisha
.
udikteta utapunguwa
.
.
Hakuna cha maana alichokifanya magufuli zaidi ya kutuumiza kiuchumi amefanya lipi la maana???bora membe tu
.
Siungi mkono ccm ila 2020 member akipitishwa kama mgombea nipo tayari kumpa kura yangu labda hali itaimarika magufuli hatumtaki wala hatufai hakuna cha maana alichofanya toka amechaguliwa,,,,,,he is doing nothing 0%
Ni utawala gani ajira haikuwa tatizo?mimi sishabikii ccm ila membe 2020 akichukua itakua poa sana kwasababu
.
huyu wa sasa hatufai hata kwa tone
.membe ataleta ajira ambayo ndio roho ya nchi
.
.
Membe ataimarisha democracy
.Mambo ya kutekwa yataisha
.
udikteta utapunguwa
.
.
Hakuna cha maana alichokifanya magufuli zaidi ya kutuumiza kiuchumi amefanya lipi la maana???bora membe tu
.
Siungi mkono ccm ila 2020 member akipitishwa kama mgombea nipo tayari kumpa kura yangu labda hali itaimarika magufuli hatumtaki wala hatufai hakuna cha maana alichofanya toka amechaguliwa,,,,,,he is doing nothing 0%
Kwa hiyo taratibu za chama haziruhusu democracy ndani ya chama ?! Mnapata wapi moral authority ya kuvisema vyama vingine kuwa havina democracy .Mimi ningekuwa Kàtibu, ningemuita tu namuuliza anazijua taratibu na kanunu za chama???
Membe anatumiwa, baaada ya Nyarandu kushindwa CIA wameamua kumtumia Membe.
"bad elements must be eliminated" hakuna namna, aunde chama chake, CCM aliikuta aiache
Hahaha mzee wa tehranmimi sishabikii ccm ila membe 2020 akichukua itakua poa sana kwasababu
.
huyu wa sasa hatufai hata kwa tone
.membe ataleta ajira ambayo ndio roho ya nchi
.
.
Membe ataimarisha democracy
.Mambo ya kutekwa yataisha
.
udikteta utapunguwa
.
.
Hakuna cha maana alichokifanya magufuli zaidi ya kutuumiza kiuchumi amefanya lipi la maana???bora membe tu
.
Siungi mkono ccm ila 2020 member akipitishwa kama mgombea nipo tayari kumpa kura yangu labda hali itaimarika magufuli hatumtaki wala hatufai hakuna cha maana alichofanya toka amechaguliwa,,,,,,he is doing nothing 0%
Hizi ni dalili za Chadema kuishiwa pumzi kabisa........ Hata mwenezi umekurupukia CCM!Hii inatokana na kudumisha kwanza katiba ya chama haikatazi kila mwanachama ana haki kuomba chama kumteua kugombea nafasi mbali mbali za kiserikali kama udiwani,ubunge,urais nk
Lakini pia kumuunga mkono mwenyekiti wetu Wa chama Taifa ambae anataka ccm mpya kwa maana kuondokana na utamadumi Wa kuminya demokrasia ndani ya ccm uliokuwa unafanywa na wenyeviti Wa ccm waliopita
Zaidi ya hapo ni kutaka kuleta ccm yenye demokrasia kwa kila mwanachama wake lakini pia kuwaonyesha wapinzani kuwa ccm kunademokrasia ya kweli
Maana lipumba anagombea peke yake huko cuf,maalim seif halikadhalika anagombea peke yake na huko chadema ndio hakusomiki kabisa hivyo ni wakati Wa ccm mpya kama tunavyo inadi
Lakini pia kama ambavyo viongozi wetu wakitaifa wanavyo nadi kwa wanaccm kuwa sasa ni ccm mpya
Ahsante
Mudhihiri Achimwene
Mjumbe Wa kamati ya ccm mkoa Wa Lindi
Kwaniaba ya wanaccm Wa mkoa Wa Lindi