Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Kauli yako kuwa " ninlazima kuwe nasababu za msingi kuwa kwann usimuache aliyepo aongoze miaka kumi" imeharibu bandiko lote.

Katiba haijalazimisha rais aongoze miaka kumi. Imesema mitano lkn baada ya hiyo mitano anaruhusiwa kugombea Tena kwa awamu ya pili
 
Cdm mlisema jk dhaifu, na kama membe angekuwa raisi basi utawala wake ungeendeshwa na Jk. Mkaenda mbali mkasema mnataka raisi mkali au siyo!!!!? Je leo Membe amekuwa mkali? Au masalia ya utawala waJk Umeisha???? Duu cdm mungu anawaona na je kuzungusha mikono ndo basi tena???? Acheni kuwa kama mwanamke wa baa ambaye achagui mwanaume. Nitaichukua cdm kwakosa misimamo kama mwanamke malaya
 
Mtoa mada hii ndio staili yako yakumpigia promo membe?
 
Hehehehehe shida
 
Kwa unafiki huo kumbuka hawajashika utawala hapo.

Pascal Mayalla hawajajipanga hawakujipanga Kama namuona bro Pasco anavyocheka akiurejea katika uzi wake.

huyu huyu membe wapinzani walisema ni fisadi leo wanamshika mkono same as lowasa
kwa style hii upinzani utasubiri sana maana ni vigeu geu
 
Huyu aliepo hana kipaji?
 
huyu huyu membe wapinzani walisema ni fisadi leo wanamshika mkono same as lowasa
kwa style hii upinzani utasubiri sana maana ni vigeu geu
Wapinzani na mashabiki wao wengi ni majizi na mapiga deal tupu na ushoga ndio sera zao, shame on all of them.

Safari hii magufuli kawapin haswa!
 
bora membe hata akituletea majanga hawezi kumiminia watu risasi......

kwann tuishi kwa hofu ndani ya taifa letu? tulipata uhuru wa nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…