Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lean nia ya bandiko lako ni Nini?Nimpigie promo ili iweje?
Niliumisi sana uzi wako mkuu.leo umechukizwa sana na ndugu zako mpaka umeweka uziNdugu zangu, huyu anayezungumzwa na kuandikwa kila chochoro, Hana jipya, wala hatakuwa na jipya.
Kukaa na kupoteza rasimali muda, huku ukimpigia "Promo za Kipuuzi" mtu ambaye hatakusaidia kwa lolote, huo nao ni upuuzi.
Ndugu zangu, huu ni Msimu wa "Maembe" Fanyeni biashara ya "Maembe"
Huyo "Membe" hatatusaidia chochote.
Sana sana atatuletea "Mende"
Asanteni, Ngoja nimpikie mume wangu kipenzi chakula cha lala salama.
Umetumwa wewe siyo bure..ngoja nisiseme kitu nisijeenda kusikojulikana
Mazingira ya sasa hivi ni tofauti kabisa. Imethibitika pasipo shaka yoyote kwamba aliyepo ana matatizo ya akili hivyo lazima ifanyike replacement ASAP.
....nchi hii ni yetu wote,tuache kudharauliana kwa kuwaona wengine hawafai kuongoza ila sisi tu ndio bora kuwaongoza
Hii inatokana na kudumisha kwanza katiba ya chama haikatazi kila mwanachama ana haki kuomba chama kumteua kugombea nafasi mbali mbali za kiserikali kama udiwani,ubunge,urais nk
Lakini pia kumuunga mkono mwenyekiti wetu Wa chama Taifa ambae anataka ccm mpya kwa maana kuondokana na utamadumi Wa kuminya demokrasia ndani ya ccm uliokuwa unafanywa na wenyeviti Wa ccm waliopita
Zaidi ya hapo ni kutaka kuleta ccm yenye demokrasia kwa kila mwanachama wake lakini pia kuwaonyesha wapinzani kuwa ccm kunademokrasia ya kweli
Maana lipumba anagombea peke yake huko cuf,maalim seif halikadhalika anagombea peke yake na huko chadema ndio hakusomiki kabisa hivyo ni wakati Wa ccm mpya kama tunavyo inadi
Lakini pia kama ambavyo viongozi wetu wakitaifa wanavyo nadi kwa wanaccm kuwa sasa ni ccm mpya
Ahsante
Mudhihiri Achimwene
Mjumbe Wa kamati ya ccm mkoa Wa Lindi
Kwaniaba ya wanaccm Wa mkoa Wa Lindi[/QUwanaopenda kuoana jinsia moja kumbe mko wengi. Kwa hali ilivyo hatutaki kusikia kingine zaidi ya kiboko cha mafisadi. Membe anafanana na ndugu yake hatutaki tena. JPM kazia hapohapo wanataka kututoa kwenye reli hao wajinga miskule Wa bosi Wa ma DJ Aikel
Kazi na Bata..hayo yakufanyishana kazi kama punda tunawaachia wajinga na washamba..eti tulimie meno..stupid
Habari inajichanganya hovyo hovyo jipange basi, kuna sehemu unatupa taarifa wasomaji, sehemu unakua kama unawsiliana na Member!!!!!Katiba haijamzuia Membe kugombea, wala mwanachama ye yote.
Je, anafuata taratibu kikatiba na kikanuni?
Kosa la Membe liko hapa.....👇🏼👇🏼
Kwanza ifahamike Membe ni miongoni mwa Makachero waliopata heshima ya kuwa viongozi ktk taasisi hiyo.
Membe alikuwa Mkuu wa Sekretarieti ya Usalama wa Taifa iliyopo Ikulu ambayo ndiyo hufanya uchambuzi wa taarifa zote kutoka mikoani.
Wakati huo wa enzi za ujana wa akina Membe miaka ya 70 (1970), Vijana walijiunga na idara hiyo ya "TISS" walikuwa wamechunguzwa kwa muda mrefu na kufanyiwa usaili wa kutosha.
Membe amewahi pia kuwa Waziri, na kwa mara ya mwisho alifikia kuomba nafasi ya juu kabisa ktk nchi hii "URAIS" na ktk kuiomba nafasi hiyo alipata heshima ya kuingia "TANO BORA".
Kura hazikutosha, zikatosha za Dk. Magufuli.
Inashangaza sana mtu aliyepitia uongozi mhimu wa Usalama wa taifa na kwamba ktk nafasi ya kisiasa amefikia uwaziri tena mhimu vile vile, halafu ukamsikia ktk tuhuma za kutaka kumhujumu kiongozi aliyepo madarakani!?
Hii inaweza kujidhihirisha ktk mambo na sehemu mbalimbali kama zifuatazo:-
(1): Kutokana na watu wako wa karibu, wanaokuzunguka na hata kukubalika kwa maadui wa kiongozi aliyepo madarakani wanayetaka akwame kwa maslahi yao binafsi.
(2): Kupitia watu unaowashawishi waungane na hujuma hizo kutoa taarifa zako sehemu husika.
(3): Kauli na matendo yako yanayopingana moja kwa moja na kumuunga mkono aliyepo madarakani na ukiwa na maana pia ya kuchochea mawazo yako potoshi kwa watu wengine 'umma'.
(4): Kujiandaa na uchaguzi kabla ya muda uliopangwa kikatiba.
Na nafikiri hiyo huenda ndiyo iliyopelekea kuitwa kwa Membe ktk ofisi na uongozi wa Chama ili akakanushe tuhuma hizo.
Hii ingewahusu pia wanasiasa wengine waliotajwatajwa kutaka kuhujumu, si waliotajwa na musiba tu bali hata kwa taarifa za ndani na nje huko mitaani ambazo hazikutajwa hadharani.
Suala la kumtaka musiba aambatane ktk kwenda kujibu tuhuma za Membe sio hoja ya msingi na haina mashiko.
Kama musiba alichokiongea ni cha uongo, na ni cha kizushi basi wao waliotajwa wapate wasaa mwingine sasa wa kupeleka malalamiko juu ya ya tuhuma alizozitoa musiba ili naye akatoe ushahidi wake.
Hii habari ya kumtaka na mtu ambaye hajaitwa ni kutaka marumbano yasiyo na tija kabisa.
Narudia tena, Membe hajazuiwa kikatiba kuomba nafasi anayoitaka, Shibuda alifanya hivyo pia kipindi cha JK ktk miaka mitano yake ila ni baada ya muda ulipofika.
Muda ukifika na si kufanya mikakati hiyo kabla ya wakati.
Na ni lazima uwe na sababu za msingi za kitaifa kuhusu kwa nini isitumike busara ya kumuacha aliyepo kumaliza miaka kumi, ueleze kwa kina juu ya maslahi ya kufanya hivyo na yalenge taifa na si genge lako na hasira za kushindwa kwako huko nyuma.
Kujiandaa kabla ni kuvunja katiba na kanuni za chama, ni hujuma, uhani na usaliti mkubwa.
Kufanya hivyo ni kumhujumu JPM, ni kwahujumu wanachama na Watanzania kwa kujumla kwani kanuni ziko wazi, sitarajii kwa mtu kama Membe kutuhumiwa au kukutwa na tuhuma kama hizo.
Kinachoshangaza ni aina ya watu wanayemtetea Membe baada ya kuitwa na uongozi au kumuunga mkono kwa kauli zake.
Angalia 1, 2, 3, na 4 jibu unalo huhitaji kwenda shule.
.....Wapinzani na mashabiki wao wengi ni majizi na mapiga deal tupu na ushoga ndio sera zao, shame on all of them.
Safari hii magufuli kawapin haswa!
Bashiru na membe ni wa chama ganiWapinzani na mashabiki wao wengi ni majizi na mapiga deal tupu na ushoga ndio sera zao, shame on all of them.
Safari hii magufuli kawapin haswa!