Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umerogwahivi tanzaniz sijui tukoje kwanini mtu akipenda urais inakuwa kosa
Bado miaka mingi sana kufika 2025 ivyo ni bora kuwa na akiba ya maneno, sio kuropokwa tu kuwa fulani ni rais mpaka 2025 kuna kifo ndugu zangu tena uyo fulani mwenyewe ni mzee2020-2025 Magufuli, Mwambie Membe atafute uraisi wa vitu vingine na sio uraisi wa nchi
Nakupenda Sky! Ingekuwa inatumwa ningeomba unitumie tu nikae nayo!Rais ajae ni Bernad Membe
unapomuona lowassa basi jua jakaya yupo..........Saalam wana jamvi
Nmejaribu kuwaza kimya kimya mwisho sauti imenitoka. Eti wajuvi wa siasa, kama tunavyofahamu Lowassa ni mpinzani ila kwa sasa yupo karibu na mkulu. Na kama tujuavyo huyu mzee ni master wa siasa za Kitanzania, na wakati huo huo yupo na kundi kubwa la wapinzani wanaomshadadia Membe the kachero kama vile ZZK, Malisa, Yeriko, Lema, Jussa na wengine.
Sasa concern yangu ni kwamba hivi hakuna muunganiko wa kusababisha lolote likatokea kati ya Membe + Lowasa(upinzani) kwa Raisi Magufuli????
Karibuni wajuvi(wachambuzi)
#2020twendenamembe#Piga sarakari, pindua na galagala. Lengo kuu ni kazi na bata.
madikteta hawapendi mtu akiwazid umaarufuHii hofu ya Membe sijui inatokea wapi, mbona mapema sana?
yan chini ya membe, tutakua tunafanya kazi na bata tunakula!Kazi na bata ndo nini jaman mtudadavulie tusiojua
#2020twendenamembe##KazinabataVS#Hapakazitu
Kama ni wa chuma upake grisisasa hivi hata sisi wana ccm tunajuta sema ni kimyakimya hakuna anayesema kiukweli mwenyekiti ana kasoro nyingi .tunaongozwa kwa "mkono wa chuma"
Amesha declare kuwa yeye ni kichaaDuh.......
Mnataka kumwua Jiwe kwa presha??
Saalam wana jamvi
Nmejaribu kuwaza kimya kimya mwisho sauti imenitoka. Eti wajuvi wa siasa, kama tunavyofahamu Lowassa ni mpinzani ila kwa sasa yupo karibu na mkulu. Na kama tujuavyo huyu mzee ni master wa siasa za Kitanzania, na wakati huo huo yupo na kundi kubwa la wapinzani wanaomshadadia Membe the kachero kama vile ZZK, Malisa, Yeriko, Lema, Jussa na wengine.
Sasa concern yangu ni kwamba hivi hakuna muunganiko wa kusababisha lolote likatokea kati ya Membe + Lowasa(upinzani) kwa Raisi Magufuli????
Karibuni wajuvi(wachambuzi)
[emoji30][emoji30][emoji30] tunashindwa kuwazayan chini ya membe, tutakua tunafanya kazi na bata tunakula!
huyu wa leo anataka wote tuishi km mashetani