Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Saalam wana jamvi

Nmejaribu kuwaza kimya kimya mwisho sauti imenitoka. Eti wajuvi wa siasa, kama tunavyofahamu Lowassa ni mpinzani ila kwa sasa yupo karibu na mkulu. Na kama tujuavyo huyu mzee ni master wa siasa za Kitanzania, na wakati huo huo yupo na kundi kubwa la wapinzani wanaomshadadia Membe the kachero kama vile ZZK, Malisa, Yeriko, Lema, Jussa na wengine.

Sasa concern yangu ni kwamba hivi hakuna muunganiko wa kusababisha lolote likatokea kati ya Membe + Lowasa(upinzani) kwa Raisi Magufuli????

Karibuni wajuvi(wachambuzi)
unapomuona lowassa basi jua jakaya yupo..........

hawa jamaa i believe mission yao ilikua halted, haikufa
 
1543782357301.jpeg

Rais ajae anatoka jimbo la Mtama

Ntwara kumekucha
 
Saalam wana jamvi

Nmejaribu kuwaza kimya kimya mwisho sauti imenitoka. Eti wajuvi wa siasa, kama tunavyofahamu Lowassa ni mpinzani ila kwa sasa yupo karibu na mkulu. Na kama tujuavyo huyu mzee ni master wa siasa za Kitanzania, na wakati huo huo yupo na kundi kubwa la wapinzani wanaomshadadia Membe the kachero kama vile ZZK, Malisa, Yeriko, Lema, Jussa na wengine.

Sasa concern yangu ni kwamba hivi hakuna muunganiko wa kusababisha lolote likatokea kati ya Membe + Lowasa(upinzani) kwa Raisi Magufuli????

Karibuni wajuvi(wachambuzi)

Nimeona tokea hili ' Sakata ' la Membe ' liibuke ' Waajiriwa wa ' Eagle Winga House ' pande za Makao ' mkabala na Mtakatifu Petro ' mnahaha na kuhangaika sana hapa Jamvini ili muweze kupata mengi zaidi ili ziwasaidie katika ' reports ' zenu na mumsaidie pia na anayewalipeni Mishahara ambaye inasemakana kama kuna Mwana CCM anayemnyima ' usingizi ' kwa sasa basi ni huyo anayehangaika nae. Hata hivyo ni matumaini yangu kuwa kwa ' Assignment ' hii uliyopewa ambayo umeileta hapa makusudi na ' Kuwatega ' Watu ili watiririke na waserereke zaidi utapata majibu mengi ambayo si ajabu pia yakakufanya uwe ' promoted ' hapo Ofisini.
 
Back
Top Bottom