Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

unapomuona lowassa basi jua jakaya yupo..........


hawa jamaa i believe mission yao ilikua halted, haikufa
 

Nimeona tokea hili ' Sakata ' la Membe ' liibuke ' Waajiriwa wa ' Eagle Winga House ' pande za Makao ' mkabala na Mtakatifu Petro ' mnahaha na kuhangaika sana hapa Jamvini ili muweze kupata mengi zaidi ili ziwasaidie katika ' reports ' zenu na mumsaidie pia na anayewalipeni Mishahara ambaye inasemakana kama kuna Mwana CCM anayemnyima ' usingizi ' kwa sasa basi ni huyo anayehangaika nae. Hata hivyo ni matumaini yangu kuwa kwa ' Assignment ' hii uliyopewa ambayo umeileta hapa makusudi na ' Kuwatega ' Watu ili watiririke na waserereke zaidi utapata majibu mengi ambayo si ajabu pia yakakufanya uwe ' promoted ' hapo Ofisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…