Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Kwa kutazama ushirikiano walionao watu wa mikoa yote ya kushi kama ilivyo desturi yao ya kuungana kwenye mambo muhimu kama walivyo ndugu zetu wa mikoa ya Mwanza,Shinyanga na Geita.

Huyu ndugu anaungwa mkono na ndugu zake wote toka mikoa ya kusini, tuliona wakianza wabunge wao kuungana pamoja kwenye suala la korosho. Hata hivyo wabunge hao wote ndio maswahiba zake toka akiwa mbunge kwenye jimbo la Mtama.

Hiyo ni nguvu ya wananchi wa mikoa ya kusini, bado wafuasi na wapenzi wa siasa zake toka mikoa mbali mbali nchini. Wengi tunahisi kua hili jambo ni gumu lakini tukumbuke huyu ndugu baada ya kuangushwa 2015, alianza kushughulika madhaifu yake muda huo huo.

Kazi aliyonayo sasahivi ni kuona namna gani anapenya ndani ya chama chake na ndio mkakati mkubwa uliopo hivi sasa.
 
Haya haya ndio yalimponza mamvi. Jifanyeni mna mpromote kumbe ndio mnammaliza kabisa
 
Umeamua kumnanga mwenzako. Ngoja tusubirie atie timu kwa katibu mkuu.kwanza ndipo atapojua si zama zile za mbereko na mambo yamebadilika sana.
 
Acheni kujitia madole wenyewe alafu mnuse!..
Membe hafai hata Udiwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ