imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mbona hiyo presha ndio ingetupunguzia kazi...maana wengine huku tunamuombea Radi iliyoanbatana na mngurumo mkali ili ikiondoe na kitengo chake.Duh.......
Mnataka kumwua Jiwe kwa presha??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hiyo presha ndio ingetupunguzia kazi...maana wengine huku tunamuombea Radi iliyoanbatana na mngurumo mkali ili ikiondoe na kitengo chake.Duh.......
Mnataka kumwua Jiwe kwa presha??
Oyeee Ntwara Membe NtitiHuku bara si tunajuaga yote ni Ntwara tuu
Mbona hiyo presha ndio ingetupunguzia kazi...maana wengine huku tunamuombea Radi iliyoanbatana na mngurumo mkali ili ikiondoe na kitengo chake.
Yaani Membe Kama Disco la Ntwara ndani watu ntiti ndani watu ntitiOyeee Ntwara Membe Ntiti
Akutumie kininiSky nakupendaje??? Au nitumie tu nlale nayo ntakurudishia kesho
😂😂😂nje ntiti ndani ntitiBM wa Ntwala anakubalika na wantu ntiti! Ukienda Kila sehem watu ntiti
Kila sehemu watu ntiti😂😂😂nje ntiti ndani ntiti
Umeamua kumnanga mwenzako. Ngoja tusubirie atie timu kwa katibu mkuu.kwanza ndipo atapojua si zama zile za mbereko na mambo yamebadilika sana.
Hii script ina producer mkuu si bongo movieUmeamua kumnanga mwenzako. Ngoja tusubirie atie timu kwa katibu mkuu.kwanza ndipo atapojua si zama zile za mbereko na mambo yamebadilika sana.