Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Huyu Jasusi Mbobezi Mnamtafutia Shida Jamani Tuache Chokochoko
 
Badamu bhatamwaghika Lumumba

Jiwe hawezi kubali kuachia chamwino kirahisi,tatizo linakuja waliompa kijiti ndio wanajua fitina.

Polepole anajua statistics za wanachama wake,baada ya chama cha Xi jinping kinafuata chake asichokijua ni kwamba marehemu wanapiga kura nying kuliko wanachama wake ref 25.10.15 matokeo ya kura yalizd wapga kura

Bashiru bado anajazia makaratasi viatu vya mwenye kipara Mr Ndovu ili viweze kumtosha

Kichaa bado ananafasi
 
Membe hatofanya miujiza maana CCM ni walewale..
ila yafuatayo;
1-Utekaji wa raia utapungua
2-Viongozi kuwatukana wananchi kutapungua
3-Ukanda, udini na ukabila utapungua
4-Watumishi kunyimwa haki zao kutapungua
5-Kesi za kipumbavu za kubambikiziana zitapungua
6-Sheria zitakazopitishwa hazitobeba hisia za mtu mmoja pekee kwa maslahi binafsi
7-Viongozi wenye phd kuacha facts na kutoa mipasho ya taarabu kutapungua
8-Viongozi wa kitaifa hawatowakimbia wananchi kwenye misiba
9-Kuhonga kodi ili uungwe mkono kutapungua
10-Ajira zitaongezeka
11-Askari wa Rwanda nchini watapungua
12-Mtanzania atakuwa na thamani zaidi kuliko mbwa wa polisi
13-Biashara zitakuwa maana unyonyaji utapungua
14-teuzi zitapungua
15-data za kupika zitapungua
16-kukurupuka kutapungua
17-hazina itaangaliwa na wale wote wenye mamlaka kisheria na sio mtu na mpwa wake pekee
18-watu watakuwa huru kufanya siasa, kutoa maoni
19-nchi itakuwa na jembe la uwakilishi nje ya nchi, haitakuwa tena tanzania ya kukimbiakimbia vikao vya wakuu wa nchi
20-njaa itapungua na furaha itaongezeka..
21-mawazo ya wasomi yatapewa nafasi yake
Umejuaje???
 
Mwanzo nliona kama mzaha hivi, lkn kidogo kidogo naona kama kuna mision plan, ambayo ina impeach kwa utaratibu..

Kunauwezekano wanataka kutengeneza mission ya kumfelisha ngosha ilj 2020 awe mtu mwingine, kama plan hii itafanikiwa basi upinzani unakuja kuchukua nchi kirahis mno... Na ndyo itakuwa mwisho wa chama kinaitwa ccm..

Maana leo toka asb membe membe membe, kwa mtazamo wa kawaida kabisa kuna plan mission around the corner
Membe hawezi pita CCM 2020 labda akagombee Upinzani naona anajiandaa kwenda upinzani kwa kuw huko huwa wanachukua reject toka CCM
 
Inastaabisha namna wasio CCM walivyo na imani kubwa na CCM katika nafasi ya Urais.

Labda tuwakumbushe tu kuwa Chama kina taratibu zake na zitaendelea kuheshimika.
 
Inastaabisha namna wasio CCM walivyo na imani kubwa na CCM katika nafasi ya Urais.

Labda tuwakumbushe tu kuwa Chama kina taratibu zake na zitaendelea kuheshimika.
Kinaheshimika kwa lipi? Au kinaheshimika na mabepari kwa kuhujumu wananchi??
 
Huo utaratibu upo kwenye ibara gani ya katiba kada mwenzangu
 
Back
Top Bottom