Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AtatuvushaHabari za Weekend.
Ni yeye tu sasa hivi ndiye tegemeo letu. Hamna namna LAZIMA awe rais.
Nimecheka eti aka kichaaMbona tunae rais wetu mtukufu jiwe aka kichaa?
Mazingira yapi?Acheni kujitisha wenyewe na kujifanya wote wanaishi hivo. Usimtukane mtu,kejeli,mdharirisha,dhihaki. Amka asubuh nenda kazini fanya kazi bila dhulma then njoo uniambie umetekwa. Sasa wewe kuanzia asubuh hadi jioni ni matusi tu,kejeli na dhihaka kwanini usiwe na hofu ya kutekwa?Mimi mwenyewe nikikwazana na mtu nakua siku ktk position nzuri.Na hakuna wakati mbaya kama huu,ukikwazana na mtu arafu ukawa unajifanya mjuaji wa kutukana serikali, kuna possibility kubwa ya huyo mbaya wako kukufanya vibaya na wote watakuja na speculation za serikali imemteka. Ishi tu vizur sio kufuata Mkumbo wa kijinga.
Nina imani hiyo pia. Kwanini asiungwe mkono na ni mtanzania mzalendo? Sidhani kama kuna shida yoyote. Nchi ni yetu sote.Naamini ataungwa mkono na watz wote wanaoitakia mema tz
Yah tupo huru.kwani uhuru upi unaoutaka?Kweli tupo huru sisi?
Yah tupo huru.kwani uhuru upi unaoutaka?
Lieleze jukwaa unataka uhuru upi?Tuyamalize tu. Kudili na vijana wa Lumumba ni kujiumiza kichwa tu.
Mkuu hata wewe ukiwa na gari yako, ukampa dereva ambaye ukaja kugunduwa kuwa anaendesha gari vibaya na kuna hatari ya kutumbukia bondeni, kuna shida yoyote ukimbadilisha na kuweka dereva mwingine na safari iendelee?Kwa jinsi ninavyoitazama hii series nahisi Membe anaweza kuwa mtanzania wa Pili kuokota Dodo chini ya Mnazi
Uhuru alioutaka Ben Saanane, Azori na Lissu. Hivi mkuu mnakuwa mmejifyatua ama ni kweli hamnazo?Yani empty brain?Yah tupo huru.kwani uhuru upi unaoutaka?
Namuonea huruma MEMBE atapotezwa muda sio mrefuBernard Membe ndo habari ya mjini kwa sasa.waangalie tu wasije kumteka mwanadiplomasia huyu wa kimataifa.
Hujui katiba ya chama inasema mwenyekiti wa chama ndo mgombea urais? Na uchaguzi wa chama kuchagua mwenyekiti ni mpaka 2022 jiwe tunae mpaka 2025Membe tuvushe TANZANIA inakuhitaji ni wewe utakayerejesha tumaini jipya sisi wanaccm wenzio tunakuhitaji upeperushe bendera 2020
Kuliko haya?Naona project MEMBE ina test mitambo....thread zimekuwa nyingi kweli juu ya membe......MEMBE AWE RAISI KWA LIPI..MNAMUWEKA MATATIZONI MZEE WA WATU ana machafu yake mengi tu
Ni vigumu Membe kupenya kwani tayari mtukufu anamuandalia Zengwe kwenye ile tenda ya vitambulisho vya Taifa pia mali na pesa za marehemu Gadafi,Membe tuvushe TANZANIA inakuhitaji ni wewe utakayerejesha tumaini jipya sisi wanaccm wenzio tunakuhitaji upeperushe bendera 2020
Hizi thread za B.Membe ndio kusema kampeni zimeshaanza au?
Au ni katika kumshawishi akishawishika wamte.k?Msimtafutie matatizo Bure...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wamebanwa na uncle wanataka kupumulia kwa Bernard