Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

IMG_1349.JPG
 
Bavicha wameacha kupigania waingie madarakani wanapigania mwanaccm mwingine aingie madarakani. Wakisema ccm itatawala milele wanakuja juu.
 
Hajapotea, nilikini mazingira tunayoishi tayari nayafahamu. Sasa nyie mlokua bado hamuyafahamu ndio msubiri tu yakutokezeeni ndio mtafahamu.
Mazingira yapi?Acheni kujitisha wenyewe na kujifanya wote wanaishi hivo. Usimtukane mtu,kejeli,mdharirisha,dhihaki. Amka asubuh nenda kazini fanya kazi bila dhulma then njoo uniambie umetekwa. Sasa wewe kuanzia asubuh hadi jioni ni matusi tu,kejeli na dhihaka kwanini usiwe na hofu ya kutekwa?Mimi mwenyewe nikikwazana na mtu nakua siku ktk position nzuri.Na hakuna wakati mbaya kama huu,ukikwazana na mtu arafu ukawa unajifanya mjuaji wa kutukana serikali, kuna possibility kubwa ya huyo mbaya wako kukufanya vibaya na wote watakuja na speculation za serikali imemteka. Ishi tu vizur sio kufuata Mkumbo wa kijinga.
 
Back
Top Bottom