Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakin had mwisho hujasema kwa nn tusimchague Membe. Naona unajiongelesha vilugha vingi bila kutaja kisa..... 2020 tunaenda na kachero MembeNyie makamanda nyie, mko desperate sana nyie.
Eti mnamtaka Membe ndo awe rais 2020.
Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli ni bora mara 100 kuliko huyo Membe wenu.
Acheni masikhara bana. Membe ni bomu kabisa. Bomu kushinda hata Magufuli.
Kuna mtu, ni Rutashubanyuma nadhani, aliwahi kusema Membe ana ‘limited brain power’.
Hiyo ni kweli kabisa. Afadhali hata Magu yeye tunajua na yeye mwenyewe anajua kuwa hajui Kiingereza.
Lakini huyo Membe wenu, awe anaongea Kiingereza chake cha pre-school au hata Kiswahili chake, anaboa kupita maelezo halafu ni kama analazimisha aonekane ana akili nyiiiiingi wakati hana lolote.
To hell na huyo Membe wenu.
Siasa za Tanzania bhana
Wapinzani wanampigia kampeni mgombea wa chama tawala
Hivi MEMBE YUPI? AU YULE TULIYESEMA ANA UNDUGU NA MZEE WA MSOGA?No Maembe 2020!
Kwani tangu lini Chukua Chako Mapema wakabadili kiongozi baada ya muhula mmoja? Au kuna assassination inapangwa?No Maembe 2020
Wewe upo kwenye ile kamati ya wateuaji? Nani alijua litatoka jina la Pombe na wanawake wawiliLakin had mwisho hujasema kwa nn tusimchague Membe. Naona unajiongelesha vilugha vingi bila kutaja kisa..... 2020 tunaenda na kachero Membe
Lakin had mwisho hujasema kwa nn tusimchague Membe. Naona unajiongelesha vilugha vingi bila kutaja kisa..... 2020 tunaenda na kachero Membe
WalahiNeno la siku!
Membe 2020Nyie makamanda nyie, mko desperate sana nyie.
Eti mnamtaka Membe ndo awe rais 2020.
Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli ni bora mara 100 kuliko huyo Membe wenu.
Acheni masikhara bana. Membe ni bomu kabisa. Bomu kushinda hata Magufuli.
Kuna mtu, ni Rutashubanyuma nadhani, aliwahi kusema Membe ana ‘limited brain power’.
Hiyo ni kweli kabisa. Afadhali hata Magu yeye tunajua na yeye mwenyewe anajua kuwa hajui Kiingereza.
Lakini huyo Membe wenu, awe anaongea Kiingereza chake cha pre-school au hata Kiswahili chake, anaboa kupita maelezo halafu ni kama analazimisha aonekane ana akili nyiiiiingi wakati hana lolote.
To hell na huyo Membe wenu.
kwa wenye akili na wafuatiliaji wa mambo watakuelewa sana, kwani Membe ni miongoni mwa mafisadi papa.Nyie makamanda nyie, mko desperate sana nyie.
Eti mnamtaka Membe ndo awe rais 2020.
Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli ni bora mara 100 kuliko huyo Membe wenu.
Acheni masikhara bana. Membe ni bomu kabisa. Bomu kushinda hata Magufuli.
Kuna mtu, ni Rutashubanyuma nadhani, aliwahi kusema Membe ana ‘limited brain power’.
Hiyo ni kweli kabisa. Afadhali hata Magu yeye tunajua na yeye mwenyewe anajua kuwa hajui Kiingereza.
Lakini huyo Membe wenu, awe anaongea Kiingereza chake cha pre-school au hata Kiswahili chake, anaboa kupita maelezo halafu ni kama analazimisha aonekane ana akili nyiiiiingi wakati hana lolote.
To hell na huyo Membe wenu.
Wewe upo kwenye ile kamati ya wateuaji? Nani alijua litatoka jina la Pombe na wanawake wawili
Watu wako radhi yeyeto hata kivuli Lkn si jiwe,wanaogopa kuumia Zaid awamu ya piliNyie makamanda nyie, mko desperate sana nyie.
Eti mnamtaka Membe ndo awe rais 2020.
Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli ni bora mara 100 kuliko huyo Membe wenu.
Acheni masikhara bana. Membe ni bomu kabisa. Bomu kushinda hata Magufuli.
Kuna mtu, ni Rutashubanyuma nadhani, aliwahi kusema Membe ana ‘limited brain power’.
Hiyo ni kweli kabisa. Afadhali hata Magu yeye tunajua na yeye mwenyewe anajua kuwa hajui Kiingereza.
Lakini huyo Membe wenu, awe anaongea Kiingereza chake cha pre-school au hata Kiswahili chake, anaboa kupita maelezo halafu ni kama analazimisha aonekane ana akili nyiiiiingi wakati hana lolote.
To hell na huyo Membe wenu.
Siku zote wewe ni mjinga mjinga uliyejificha marekani na wala hujui shida zinazotupata hapa nchini mmejificha huko gizani kazi yenu ni kutupa mawe gizani tu wala hamna msaada wowote, hali kwa sasa ni mbaya nyongeza ya mishahara hakuna, ajira hakuna, biashara zinakufa alafu unamtetea huyo jamaa yako eti ni bora?Nyie makamanda nyie, mko desperate sana nyie.
Eti mnamtaka Membe ndo awe rais 2020.
Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli ni bora mara 100 kuliko huyo Membe wenu.
Acheni masikhara bana. Membe ni bomu kabisa. Bomu kushinda hata Magufuli.
Kuna mtu, ni Rutashubanyuma nadhani, aliwahi kusema Membe ana ‘limited brain power’.
Hiyo ni kweli kabisa. Afadhali hata Magu yeye tunajua na yeye mwenyewe anajua kuwa hajui Kiingereza.
Lakini huyo Membe wenu, awe anaongea Kiingereza chake cha pre-school au hata Kiswahili chake, anaboa kupita maelezo halafu ni kama analazimisha aonekane ana akili nyiiiiingi wakati hana lolote.
To hell na huyo Membe wenu.
Membe akipita atawapandishia dau kutoka 7000 had 7500. Si mtafurah nzi wa lumumba?Kachero gani mpuuzi tu
Muulize alicho fanyiwa Zimbabwe
Kamanda acheni kudandia vitu msivyo vijua
Kisu ukikishika kwenye makali lazima kita kukata, mmejikaanga na mafuta yenu wenyewe chadrama mcharuko mizee ya matukio kulus
Hatari sanaKama ni gari Jiwe kalizamisha kwenye tope mpaka Difu imekalia
Hili hapa?Kama ni gari Jiwe kalizamisha kwenye tope mpaka Difu imekalia