Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Dah..safi sana...waanze madaktari..wawatandike OD wagonjwa wote wanaofika kupata huduma...na kila anayeingia thieta atokee mochuare...waongoza ndege nao wazielekeze makusudi zitue Kariakoo...Jeshi la kuzima moto nao wajaze petrol magari yao badala ya maji..hapo wananchi wataichukia sana serikali yao na kuwapenda sana ninyi mnaotaka uongozi kwa gharama zao....😡😡😡
 
Watu wamemisi angalau sura nzuri ya matumaini ya kujaza matumbo kwa leo tu
 

Hahahaha
 
Watu mlioko kiwanja cha kimataifa cha julias nyerere kumlaki membe mtupe mrejesho wa yanayojiri apo uwanjani
 
Sawa anatumbua majipu!
Lkn mbn tangia ameingia madarakani sijawahi sikia au kuona mtu akifungwa
Kesi zote zinaishia juuu juu tu!

Ova
 
Hiki chama cha fisiem kina mbinu hatari..lengo wasipolwe madaraka..inaelekea wanapata faida kubwa sana....hiki sio chama kizuri Hata asiku moja ..ila ndo hvow watz wengi wafata mkumbo..haya mchagueni na huyo membe aje asimame kwa falsafa ya fisiem kama yatabadilika....
 
Arudishe pesa yetu $20 million za kujenga kiwanda cha Cement Lindi. Huyo ni fisadi period.
 
Kazi na bata!
2020 kura zote kwa Membe!
 
Mimi sihitaji kua ni lazima awe Membe au Lowasa, ninayotakata ni kiongozi atakayeheshimu makundi makubwa matatu yaliyoshikilia mustakabali wa usalama wa taifa letu, yaani Wakulima na Wafanyakazi pamoja na wafanyabiashara.

Ni ukweli ulio dhahiri kua makundi haya yapo katika hali ngumu kupita kiasi, yamechoka sana. Huenda sio kwa kupenda lakini inawezekana ni kwa kukosa mbinu murua za kuwasaidia.

Binafsi ninachotaka tu ni utawala wa awamu hii umalizie miaka take 3 iliyobaki uondoke tu, hauna maslahi kwa taifa. Kila wanayofanya hakuna faida iliyoonekana kwa mtanzania, tunaambiwa eti ni kwa ajili ya vizazi vijajavyo, who knows kama sio uongo mnataka kutusotesha bure.

Haaa kama ni membe,Lowasa,Zitto, Lissu au mtanzania yeyote mwenye uwezo wa kuliongoza taifa. Huu utawala uliopo waliyofanya yanatosha, miaka 5 iwatoshe wasepe tuu.Sisi raia ndio wenye maamuzi kumweka mtu madarakani na ni lazima tuseme.
 
Bavicha kwisha habari yenu yaani mnaamini hii ndio njia ya kuifikisha cdm ikulu?

Kama Membe ataingia kwenye huu mtego wa kijinga hivi hata mimi nitamshangaa sana.
Hii ndio inaitwa cheap politics
 
Ulitaka ufanyiwe nini wewe na familia yako
 
Membe 2020! bora tutafutane tu 2020. Hili la kumfanya mtu lazima amalize miaka 10 wakati hii mitano tu imemshinda hatutaki. Tunataka 2020 uhuru haki na uwazi. hatutaki udikteta hata katika chama chetu CCM. Ndio hivyo tumechoka. Petrol sasa ni shs 2,450. uchumi unakuaje sasa leo hii shillingi yetu inacheza rege zigizaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…