Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Jiwe sio chaguo la watanzania
Habari.

Ni tofauti na sasa tumekuwa tukiongopewa, nawaomba mwanaccm hii ni fursa yenu. Kukitoa chama kwenye makucha ya uongo na kukipeleka kwenye ukweli.

Maana chama chenu kina kauli " Nitaongea ukweli daima, uongo kwangu mwiko "

Mabeberu wana mbinu nyinyi sana na kwenye mikataba yao hutumia lugha ya kiingereza, sasa kama rais hatakuwa hayupo vizuri kwenye lugha tutabingwa za uzo.

Nawatakia mabadiliko mema mwanaccm.

mr mkiki. View attachment 955259View attachment 955261
 
Habari za muda mabibi na mabwana!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.

Karibuni kwa maoni yenu.

====
Wewe kama umepewa mgao wa kampeni kula pesa membe hana jipya
 
Hizi takwimu zenu zitawatoa roho watu. Kesho watakuja Wakina Twaweza na utafiti wao wa faster faster ili kuweka mambo sawa. Na usasikia Mkuu anakubarika kwa sasa kwa 85%.
 
Namkubali sana membe uwaziri wake wa mambo ya nnje uliipigia debe Tz ndo kupata taasisi mingi kutoka ughaibuni madola kupatikana kwa wingi ajira zilikua masha alaah akipewa urais membe mwenyeji sana ughaibuni atapanda .ara kadhaa mambo yatakaa sawa kwa nchi za kiafrica lazima utengeneze ukaribu na hawa weupe maana unahitaji pesa yao hasa hujawabi fika kwao hata mara 1 unaogopa nni sijui membe chukua mkwasa tusongeshe taifa mbele
 
1. Mbowe kwa shauri alilonalo angekuwa mahakamani na JELA !?

2. Tungeshuhudia kesi na vifungo viongozi upinzani Kwa kiasi Hili?

3. Thamani ya Dola ya marekani ingefikia Kiwango hiki cha leo!?

4. Ustawi na umoja wa taifa letu ungemomonyoka kwa kiwango hiki !?

5. Mahusiano na maelekezo mihimili ya 3 Pangekuwa Hivi!?

6. Tungeshuhudia Wabunge na madiwani kuunga juhudi kwa na ya ki pekee Hivi!?

7. Mahusiano kati ya serikali na wafanyabiashara sector binafsi yangefikia hatua hii!?

8. Watumishi maslahi na stahiki zao zingefikia hatua hii!?

9.Wawekezaji wa ndani na nje mahusiano yangefika hatua hii!?

10. Mahusiano kati ya nchi yetu yangeimarika kwa kiasi gani!?

11.Tungejenga reli,Bwawa la umeme na kununua ndege kwa mfumo huu!?

12. Tungeshuhudia hotuba za kibabe, Kiburi na zinazokatisha tamaa!?
 
Jamani mwambieni NAPE chondechonde awaache wapumzike wasaka tonge waliokwenda CCM kujipumzisha..
Nasikia ASILIA hawawataki hawa watu, yule MZEE KIJANA, POLE mara 2 naye basi tu hana jinsi ila kumfurahisha huyu mhamiaji kutoka RWANDA, lakini kiuhalisia haungi mkono !
 
Back
Top Bottom