Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Sasa wacha tu nisubscraibu kote mpaka nijue kulikoni
 
Ahahahahaha these Membe things....ngoja tuone hii picha inaishia wapi,maana ilipoanzia sijui.
 
Makosa makubwa waliyofanya ccm ni kumpa jiwe uenyekiti wa chama.

Jk alipaswa kuendelea kuwa mwenyekiti wa ccm then kamati kuu ingekuwa ina uwezo na nguvu za kumuita Rais kumuhoji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…