Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Huyu jamaa mbona anapata Kick sana Jf

Sababu ya yule Musiba wa Tanzanite [emoji23][emoji23]
432FCD99-A061-4ADF-9B96-EA0ED069DC1F-1446-0000026CFFE282B4.jpeg
 
Sasa wacha tu nisubscraibu kote mpaka nijue kulikoni
 
Ahahahahaha these Membe things....ngoja tuone hii picha inaishia wapi,maana ilipoanzia sijui.
 
Makosa makubwa waliyofanya ccm ni kumpa jiwe uenyekiti wa chama.

Jk alipaswa kuendelea kuwa mwenyekiti wa ccm then kamati kuu ingekuwa ina uwezo na nguvu za kumuita Rais kumuhoji
 
Back
Top Bottom