Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
AKSANTE UJUMBE UMEFIKA 2020 TWENDE NA MEMBE ,jiwe anza kufunga virago ! Uliipenda sana Ikulu lakini sisi tumempenda ZAIDI BENARD MEMBE AIINGIE IKULU.Mh Membe Atuakikishie pia kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sisi tulohapa kutopiga kura tena tutajiandikisha na kumpa kura kwa mamilioni
Walibadili katiba ya ccm 2017 jiwe lipite bila kupingwa. Kwa maana hiyo, kwa kufuata katiba ya ccm na mabadiliko yake ya 2017, Membe itabidi atafute platform nyingine, lakini siyo ccm.Ndugu zangu,
Haya ni maoni yangu binafsi nisije nikaanza kuviziwa kutolewa roho na wale wasiopenda kukosolewa.
Nimefuatilia kwa umakini mkubwa kilichotokea Congo kwenye uchaguzi na uhusika wa kanisa katoliki ktk kupigania haki za wananchi.
Kwa leo sitapenda kuzungumzia umuhimu wa dini kwenye jamii ila ninalipongeza kanisa kwa kufuata misingi ya ki MUNGU kutatua migogoro,ni vema na kanisa katoliki tanzania kuiga na kufuata njia hizo,achana na hivi vikanisa uchwara vinavyowalamba miguu wauaji na kuwasifia hadharani.
Pia kinachoendelea zimbwabwe mpaka muda huu naandika kinasikitisha,bw.Mugabe ameshaiharibu nchi ile na wananchi wanateseka na uchumi wakati yeye kwa sasa amekaa kwa raha anakunywa juice ya baridi bila shida akiwacheka wananchi wake.
Ifike mahali chama cha mapinduzi kijifunze kutokana na matukio ya vyama vilivyoharibu nchi zao kwa kuwakumbatia viongozi wanaoharibu badala ya kujenga.
Ni vema kukawepo na mbadala pale ambapo kiongozi aliyeko madarakani anapoharibu basi asiruhusiwe kiendelea kuharibu na badala yake awepo mbadala na hatimae nchi isonge mbele,
2020 ili kuokoa taifa letu la tanzania na mateso ya wananchi ya kiuchumi,kutekwa,kuuawa,kupotezwa na hata kuweka mahusiano kwa vyama vya upinzani na hatimaye kujenga nchi moja isiyo na upendelea wa kikabila au kikanda ni vema ccm mkawa na plan b ambayo ni Bernad Membe kuwa mgombea wa uraisi,chama kinapaswa kuwa imara na kisimuonee haya wala huruma anayeharibu misingi ya chama.
Na kama ccm haitaliona hilo kama la maaana,ninawahakikishia 2025 mtayaona yaliyotokea Congo.
Yangu machache hayo.
@#Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
HAKUNA PLATFORM PLATFORM NI CCM,JIWE HANA KIBALI MACHONI PA WATANZANIA .Walibadili katiba ya ccm 2017 jiwe lipite bila kupingwa. Kwa maana hiyo, kwa kufuata katiba ya ccm na mabadiliko yake ya 2017, Membe itabidi atafute platform nyingine, lakini siyo ccm.
Sasa kama katiba yao wenyewe inasema hivo, na naamini Membe aliyashiriki hayo mabadiliko, itakuwaje sasa aende kinyume? Labda afanye mapinduzi ya nguvu na hapo ndio tutaona ukomavu wa ccm. Vinginevyo itabidi atafute nafasi hiyo nje ya ccm. Chama sasa hivi kinamilikiwa na jiwe pamoja na majibwa yake. Hata huoni alivyojipanga? Time will tell [emoji120][emoji120]HAKUNA PLATFORM PLATFORM NI CCM,JIWE HANA KIBALI MACHONI PA WATANZANIA .
1:JUMUIYANYA WAFANYABIASHARA WADOGO KWA WAKUBWA WANALIA
2:WANAZUONI WAHITIMU WANALIA KABISA intake 4 hazina ajira.
3:WATUMISHI WA UMMA STAHIKI ZAO NA MISHAHARA YAO NYONGEZA PIA IMEKUWA TATIZO JIWE ANAJENGA RELI NA KUWEKEZA KATIKA VITU.
JIWE ANAUNGWA MKONO NA KIKUNDI CHA WATU WACHACHE BENEFICIALIES WA UTAWALA WAKE.
4: WAKULIMA HASA KOROSHO AMEVURUGA ZAO NA UCHUMI!
HAKIKA JIWE AKING'ANG'ANIA " the phenomenon will decide"
Akikwambia nje kuna giza toka ndani ukahahakikishe kama ni kweli.
Mkuu labda umechanganya utamaduni wa chama ! utamaduni unabadilika kadiri ya mazingira na hitaji !Sasa kama katiba yao wenyewe inasema hivo, na naamini Membe aliyashiriki hayo mabadiliko, itakuwaje sasa aende kinyume? Labda afanye mapinduzi ya nguvu na hapo ndio tutaona ukomavu wa ccm. Vinginevyo itabidi atafute nafasi hiyo nje ya ccm. Chama sasa hivi kinamilikiwa na jiwe pamoja na majibwa yake. Hata huoni alivyojipanga? Time will tell [emoji120][emoji120]
CHAMA KINA WENYEWE WAMEKAA PEMBENI WATAKA KURUDISHA HESHIMA YA CHAMA NA NCHI MKUU ! STAY TUNED!!Sasa kama katiba yao wenyewe inasema hivo, na naamini Membe aliyashiriki hayo mabadiliko, itakuwaje sasa aende kinyume? Labda afanye mapinduzi ya nguvu na hapo ndio tutaona ukomavu wa ccm. Vinginevyo itabidi atafute nafasi hiyo nje ya ccm. Chama sasa hivi kinamilikiwa na jiwe pamoja na majibwa yake. Hata huoni alivyojipanga? Time will tell [emoji120][emoji120]
Wakizidiwa kwa hoja ya utamaduni wa chama watang'ang'ania maandishi. Hatakubali kirahisi. Na jiwe akikataa kwa nguvu mtamfanyaje?Mkuu labda umechanganya utamaduni wa chama ! utamaduni unabadilika kadiri ya mazingira na hitaji !
Amina [emoji120][emoji120]CHAMA KINA WENYEWE WAMEKAA PEMBENI WATAKA KURUDISHA HESHIMA YA CHAMA NA NCHI MKUU ! STAY TUNED!!
HAKUTAKUWA NA MAPINDUZI I VIKAO HALALI.Sasa kama katiba yao wenyewe inasema hivo, na naamini Membe aliyashiriki hayo mabadiliko, itakuwaje sasa aende kinyume? Labda afanye mapinduzi ya nguvu na hapo ndio tutaona ukomavu wa ccm. Vinginevyo itabidi atafute nafasi hiyo nje ya ccm. Chama sasa hivi kinamilikiwa na jiwe pamoja na majibwa yake. Hata huoni alivyojipanga? Time will tell [emoji120][emoji120]
JIWE AMINI USIAMINI ATAKUWA KAMA KUKU ALONYESHEWA MVUA ! HATAKUWA NA NGUVU KAKA.Wakizidiwa kwa hoja ya utamaduni wa chama watang'ang'ania maandishi. Hatakubali kirahisi. Na jiwe akikataa kwa nguvu mtamfanyaje?
Kila la kheri [emoji120][emoji120]JIWE AMINI USIAMINI ATAKUWA KAMA KUKU ALONYESHEWA MVUA ! HATAKUWA NA NGUVU KAKA.
MCHEKI RAIS WA SUDAN?
ILIWEZEKANAJE??
Ninakuona ukiota sugu kama nyani matakoni sababu utahamia msituni nakukalia mawe lTunaenda na Magu mpaka 2022 ( Miaka 7 awamu ya kwanza) then anatuchukua awamu ya pili mpaka 2029 akimaliza hana cha kuongeza muda then ndio tunaanza kujadili wengine wa kumrithi
mkuu msamehe tu huyo pyoyo hawezi kuangalia trend ya mambo na nchi i inakoelekeaNinakuona ukiota sugu kama nyani matakoni sababu utahamia msituni nakukalia mawe l
AKSANTE UJUMBE UMEFIKA 2020 TWENDE NA MEMBE ,jiwe anza kufunga virago ! Uliipenda sana Ikulu lakini sisi tumempenda ZAIDI BENARD MEMBE AIINGIE IKULU.
Mwanza tieni tieni kura kwa Membe.
Hivi wewe unajua unalolifanya? Ni vizuri tukafanya kazi na rais wetu kwani ndiye chaguo la watanzania. so hatuna haja ya kufikiria 2020. Kama taifa tunamajukumu mengi acha kutumaininsha kuwa nchi yetu ipo kwa ajili ya uchaguzi tu. Tuna mengi ya muhimu ya kuyashughulukia.Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
====