Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Mh Membe Atuakikishie pia kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sisi tulohapa kutopiga kura tena tutajiandikisha na kumpa kura kwa mamilioni
AKSANTE UJUMBE UMEFIKA 2020 TWENDE NA MEMBE ,jiwe anza kufunga virago ! Uliipenda sana Ikulu lakini sisi tumempenda ZAIDI BENARD MEMBE AIINGIE IKULU.
Mwanza tieni tieni kura kwa Membe.
 
Ndugu zangu,
Haya ni maoni yangu binafsi nisije nikaanza kuviziwa kutolewa roho na wale wasiopenda kukosolewa.
Nimefuatilia kwa umakini mkubwa kilichotokea Congo kwenye uchaguzi na uhusika wa kanisa katoliki ktk kupigania haki za wananchi.
Kwa leo sitapenda kuzungumzia umuhimu wa dini kwenye jamii ila ninalipongeza kanisa kwa kufuata misingi ya ki MUNGU kutatua migogoro,ni vema na kanisa katoliki tanzania kuiga na kufuata njia hizo,achana na hivi vikanisa uchwara vinavyowalamba miguu wauaji na kuwasifia hadharani.
Pia kinachoendelea zimbwabwe mpaka muda huu naandika kinasikitisha,bw.Mugabe ameshaiharibu nchi ile na wananchi wanateseka na uchumi wakati yeye kwa sasa amekaa kwa raha anakunywa juice ya baridi bila shida akiwacheka wananchi wake.
Ifike mahali chama cha mapinduzi kijifunze kutokana na matukio ya vyama vilivyoharibu nchi zao kwa kuwakumbatia viongozi wanaoharibu badala ya kujenga.
Ni vema kukawepo na mbadala pale ambapo kiongozi aliyeko madarakani anapoharibu basi asiruhusiwe kiendelea kuharibu na badala yake awepo mbadala na hatimae nchi isonge mbele,
2020 ili kuokoa taifa letu la tanzania na mateso ya wananchi ya kiuchumi,kutekwa,kuuawa,kupotezwa na hata kuweka mahusiano kwa vyama vya upinzani na hatimaye kujenga nchi moja isiyo na upendelea wa kikabila au kikanda ni vema ccm mkawa na plan b ambayo ni Bernad Membe kuwa mgombea wa uraisi,chama kinapaswa kuwa imara na kisimuonee haya wala huruma anayeharibu misingi ya chama.

Na kama ccm haitaliona hilo kama la maaana,ninawahakikishia 2025 mtayaona yaliyotokea Congo.

Yangu machache hayo.

@#Swelana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walibadili katiba ya ccm 2017 jiwe lipite bila kupingwa. Kwa maana hiyo, kwa kufuata katiba ya ccm na mabadiliko yake ya 2017, Membe itabidi atafute platform nyingine, lakini siyo ccm.
 
Walibadili katiba ya ccm 2017 jiwe lipite bila kupingwa. Kwa maana hiyo, kwa kufuata katiba ya ccm na mabadiliko yake ya 2017, Membe itabidi atafute platform nyingine, lakini siyo ccm.
HAKUNA PLATFORM PLATFORM NI CCM,JIWE HANA KIBALI MACHONI PA WATANZANIA .

1:JUMUIYANYA WAFANYABIASHARA WADOGO KWA WAKUBWA WANALIA
2:WANAZUONI WAHITIMU WANALIA KABISA intake 4 hazina ajira.

3:WATUMISHI WA UMMA STAHIKI ZAO NA MISHAHARA YAO NYONGEZA PIA IMEKUWA TATIZO JIWE ANAJENGA RELI NA KUWEKEZA KATIKA VITU.

JIWE ANAUNGWA MKONO NA KIKUNDI CHA WATU WACHACHE BENEFICIALIES WA UTAWALA WAKE.

4: WAKULIMA HASA KOROSHO AMEVURUGA ZAO NA UCHUMI!

HAKIKA JIWE AKING'ANG'ANIA " the phenomenon will decide"
 
Sasa kama katiba yao wenyewe inasema hivo, na naamini Membe aliyashiriki hayo mabadiliko, itakuwaje sasa aende kinyume? Labda afanye mapinduzi ya nguvu na hapo ndio tutaona ukomavu wa ccm. Vinginevyo itabidi atafute nafasi hiyo nje ya ccm. Chama sasa hivi kinamilikiwa na jiwe pamoja na majibwa yake. Hata huoni alivyojipanga? Time will tell [emoji120][emoji120]
 
Wafanyabiashara, korosho au mazao yoyote hayakutajwa katika mabadiliko ya katiba ya ccm. So they're non issue. By the way, "wananchi" waliyashangilia sana yaliyofanywa na jiwe juu ya mazao uliyoyatajwa.
 
Sasa kama katiba yao wenyewe inasema hivo, na naamini Membe aliyashiriki hayo mabadiliko, itakuwaje sasa aende kinyume? Labda afanye mapinduzi ya nguvu na hapo ndio tutaona ukomavu wa ccm. Vinginevyo itabidi atafute nafasi hiyo nje ya ccm. Chama sasa hivi kinamilikiwa na jiwe pamoja na majibwa yake. Hata huoni alivyojipanga? Time will tell [emoji120][emoji120]
Mkuu labda umechanganya utamaduni wa chama ! utamaduni unabadilika kadiri ya mazingira na hitaji !
 
CHAMA KINA WENYEWE WAMEKAA PEMBENI WATAKA KURUDISHA HESHIMA YA CHAMA NA NCHI MKUU ! STAY TUNED!!
 
Mkuu labda umechanganya utamaduni wa chama ! utamaduni unabadilika kadiri ya mazingira na hitaji !
Wakizidiwa kwa hoja ya utamaduni wa chama watang'ang'ania maandishi. Hatakubali kirahisi. Na jiwe akikataa kwa nguvu mtamfanyaje?
 
Sasa kama katiba yao wenyewe inasema hivo, na naamini Membe aliyashiriki hayo mabadiliko, itakuwaje sasa aende kinyume? Labda afanye mapinduzi ya nguvu na hapo ndio tutaona ukomavu wa ccm. Vinginevyo itabidi atafute nafasi hiyo nje ya ccm. Chama sasa hivi kinamilikiwa na jiwe pamoja na majibwa yake. Hata huoni alivyojipanga? Time will tell [emoji120][emoji120]
HAKUTAKUWA NA MAPINDUZI I VIKAO HALALI.
2020 ATAKUWA AMEMALIZA MUDA ,ATACHUKUA FOMU BAADA YA HAPO MCHAKATO UTAANZA NA MWISHO MWISHONI ATAAMUA KUFUATA SHAURI KUKAA PEMBENI KWA MASLAHI YA NCHI.

asipokuwa tayari "PHENOMENON" itaamua
 
Wakizidiwa kwa hoja ya utamaduni wa chama watang'ang'ania maandishi. Hatakubali kirahisi. Na jiwe akikataa kwa nguvu mtamfanyaje?
JIWE AMINI USIAMINI ATAKUWA KAMA KUKU ALONYESHEWA MVUA ! HATAKUWA NA NGUVU KAKA.

MCHEKI RAIS WA SUDAN?
ILIWEZEKANAJE??
 
Tunaenda na Magu mpaka 2022 ( Miaka 7 awamu ya kwanza) then anatuchukua awamu ya pili mpaka 2029 akimaliza hana cha kuongeza muda then ndio tunaanza kujadili wengine wa kumrithi
Ninakuona ukiota sugu kama nyani matakoni sababu utahamia msituni nakukalia mawe l
 
AKSANTE UJUMBE UMEFIKA 2020 TWENDE NA MEMBE ,jiwe anza kufunga virago ! Uliipenda sana Ikulu lakini sisi tumempenda ZAIDI BENARD MEMBE AIINGIE IKULU.
Mwanza tieni tieni kura kwa Membe.

Wamechomewa nyavu kwa makosa ya yenye viwanda vya nyavu Na kuporwa injini zao ushuru komozi Kwa wanunuzi wa dagaa toka Congo Na Zambia,hivo wako mguu pande. Kumebaki Dodoma, kusini kuchele wako tayari
 
Watu wanapenda wezi tu . Atutamchagua Tena, mtu aliyewai kuwa Waziri was mambo ya njee humu nchini. Watakuwa watalii Kama Vasko de Game 2005/2015
 
Habari za muda mabibi na mabwana!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.

Karibuni kwa maoni yenu.

====
Hivi wewe unajua unalolifanya? Ni vizuri tukafanya kazi na rais wetu kwani ndiye chaguo la watanzania. so hatuna haja ya kufikiria 2020. Kama taifa tunamajukumu mengi acha kutumaininsha kuwa nchi yetu ipo kwa ajili ya uchaguzi tu. Tuna mengi ya muhimu ya kuyashughulukia.
Ukisoma Kitabu kinachoitwa "How European Underdeveloped Afrika" kilichoandikwa na Walter Rodney utanielewa vizuri. Viongozi wanaopata nafasi kwa kuwa promoted sana kwenye media sio wetu bali wameandaliwa na nchi za Ulaya na marafiki zao.
 
Habarini za jioni wanajamvi...

Aliyewahi kuwa Waziri wa mambo ya nje Ndugu Bernard Membe nimeona akitajwa sana kwenye mitandao ya kijamii na wengine wamediriki kuchapisha tishet zilizoandikwa "Nitamchagua Member 2020" huyu Membe amewahi kushika nafasi mbalimbali katika serikali zilizopita na pia ni kada kindakindaki wa chama chetu cha mapinduzi,utaratibu wetu ndani ya chama Rais ataongoza Kwa mihula miwili miaka 10,kwanini huyu anatajwa sana wakati Mh Rais bado yupo madarakani???

Sawa wanaomtajataja Membe wanatumwa na nan?

Wanahisi Membe ni bora Kuliko Magufuli?

Membe hawezi kuleta mabadiliko ya aina yeyote ndani ya Nchi hii,Kwa nafasi alizotumikia ndani ya Nchi hii hakuna mabadiliko yeyote aliyoyaleta ndo ataleta mabadiliko akiwa Rais?

Haiwezekani na hatoupata huo URAIS hana uwezo wa kutuongoza,kuongoza Watu mil 55 siyo kazi ndogo/rahisi huyu hawezi kutuongoza,

Nchi hii imechelewa sana kumpata MTU kama.MAGUFULI mtu asiyepepesa macho huyu ni nani,tatizo Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli lakin huyu Rais anatufaaa ataipeleka Tanzania Mbele

Membe hawezi kutuongoza na hawa wanaotajataja wanapoteza muda wao bure..

Kiongozi ni yule asiyepepesa macho,

Anajenga barabara,maji,elimu bure,huduma za afya,umeme vijijin, na mengine mengi...

MH MAGUFULI TWENDE HIVI HIVI HADI 2025 Nina iman tutakuwa tumepiga hatua mbele.

Let's dream higher
 
Back
Top Bottom