Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Mboga imechacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ngoja tusubiri 2020!
Huko visiwani mumepanga kufanya mauwaji ya halaiki dhidi ya Act wazalendo

Huku bara mumepanga njama za wizi mkubwa wa aina yake wa kura

Ila observers watakuja kutoka dunia mzima tunachotaka ni dunia ione halafu hata mukisababisha machafuko msakwe na kukamatwa.

Mumezoea wale observers wa Afrika ambao huwa munawapeleka ngongoro kuzubalia wanyama wakati mnapofanya wizi wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…