Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nikisikia wazee wote wastaafu wamejipanga kupindua meza , nikapuuza , Kumbe ni kweli ?Tunaitaka Tanzania yenye furaha na amani, tunaitaka Tanzania ile yenye viongozi wanaoheshimu sheria na katiba ya nchi yetu, Tanzania iliyosifika kwa uimara wa diplomasia na Ushirikiano wa kimataifa , Tunaitaka Tanzania yenye viongozi wanaohezhimu wananchi wake, viongozi wanaoheshimu utu na faragha ya wananchi, tunaitaka Tanzania ile yenye viongozi wanaoheshimu haki za binadamu.