Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Tunaitaka Tanzania yenye furaha na amani, tunaitaka Tanzania ile yenye viongozi wanaoheshimu sheria na katiba ya nchi yetu, Tanzania iliyosifika kwa uimara wa diplomasia na Ushirikiano wa kimataifa , Tunaitaka Tanzania yenye viongozi wanaohezhimu wananchi wake, viongozi wanaoheshimu utu na faragha ya wananchi, tunaitaka Tanzania ile yenye viongozi wanaoheshimu haki za binadamu.
Nikisikia wazee wote wastaafu wamejipanga kupindua meza , nikapuuza , Kumbe ni kweli ?
 
Tunaitaka Tanzania yenye furaha na amani, tunaitaka Tanzania ile yenye viongozi wanaoheshimu sheria na katiba ya nchi yetu, Tanzania iliyosifika kwa uimara wa diplomasia na Ushirikiano wa kimataifa , Tunaitaka Tanzania yenye viongozi wanaohezhimu wananchi wake, viongozi wanaoheshimu utu na faragha ya wananchi, tunaitaka Tanzania ile yenye viongozi wanaoheshimu haki za binadamu.

Kwanza tnataka kujua kama alikuwapo kwenye kikao cha leo mwanza?
 
Twende na Membe MTU mwenyewe anajiuma uma hata kutangaza nia anaogopa harafu wewe unampigia debe
 
SLOGAN YAKE NI KAZI NA BUTTER.KAZI NA BUTTER=KAZI NA WIZI,HATUTAKI!
TUNATAKA KAZI TU.
 
Habari za muda mabibi na mabwana!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.

Karibuni kwa maoni yenu.

Weye naona umebanwa kunya, kanye kisha uchambe na maji ya baridi. Hivi Membe nawe unaweza kumfikiria kuwa rais wa TAnzania katika enzi hizi za Magufuli. Hata nusu ya Magufuli hafuati
 
Katiba inasema hata Konki Likwid anaweza kuwa Rais wa nchi

Wewe unafikiri katiba inasema Rais lazima awe na bichwa kama korosho?
 
Tunaenda na Magu mpaka 2022 ( Miaka 7 awamu ya kwanza) then anatuchukua awamu ya pili mpaka 2029 akimaliza hana cha kuongeza muda then ndio tunaanza kujadili wengine wa kumrithi
Pohamba kwa nini miaka saba?sisi siyo kopi ya rwanda kwa nini isiwe miaka ishirini awamu moja ili rais apate muda wa kutosha kukamilisha mipango yake na vilevile kuokoa mipesa inayoliwa kwenye uchaguzi?
 
TULIZENI BOLI NCHI HII INA AMANI NA HUO UZANDIKI MSITULETEE HAPA...we need peace tuchape kazi ...kwani lazimaawe raisi ebooooo
VIPINDI VIVILI TUMALIZE SALAMA ..
SHERIA
TARATIBU
KANUNI
MAZOEA
(STKM) Ndio dira STKM huyo wenu hana nafasi hapa...
 
Back
Top Bottom