Inshallah.Tufika tu
Aaahh kwa haraka haraka utagundua Vijana wa Lumumba upande wa Jiwe ndo hawahawa walofungua nyuzi zakujifanya wanampenda Membe ,ili mradi tu kujaribu kupenyezesha mpango wa membe alonao.
Hapo ndo tunarudi kulee ,jiwe alipopiga marufuku wanachama kuanza kuanza kupiga kampeni zao mapema.
Kwa ufupi..ukiwa na akili ya kawaida, utaona km ni Wafuasi wa membe...lkn kihalisia ni wafuasi wa JIWE ..namwisho Membe atajitoa mwenyewe..
Kimkakati, na Membe ni Mwanasiasa Nguli na mzito WALA HAWEZI KAA AANZISHE VIJIKAMPENI VYA KIPUUZI NAVYOVIONA HUMU .
Hata ivo Rais Ajaye ni Tundu Lissu .
Muulize rais wako neno sahihi ni lipi kati ya haya?Mnatuchanganya sana na misamiati hii.
Mara "fend font" na wewe unakuja na 'phont fage' maana ya yote haya ni ipi? Haya nyingine hiyo "FONT FED"!
Imenibidi leo nitumie nafasi hii na mimi nijifunze mapya nisiendelee kubaki 'analog', wakati kila kitu ni digitali!
Labda Kuna "NATIONAL DEMOCRATIC PROCESS" kama Ya Zimbabwe inakuja.before itawezekanaje?Let us be realistic.
Is this applicable to Membe too?
Nyinyi ndio mmekosa usingizi membe kawaweka pabayaAndika tu kwa Kiswahili usipate njaa bure usiku huu!