StingRay
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 503
- 628
Kwakweli WanaJF tujaribu kuwa na kiasi angalau kuhusu hili la Mzee Membe. Kulingana na mwenendo wa hali ya kisiasa hapa nchini kitu kikimkwaza 😵huwa anaonesha wazi kuwa huyo anayewavutia wengi ni kikwazo kwake katika mikakati yake ya kulazimisha kukubaliwa na hadhira yake. Kwasababu hii tu, naomba tuwe na kiasi kuhusu Membe tutamchonganisha na 😵 pia tutawasababishia wa Kusini kutengwa kimoja kama Mbeya...