Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania


Kwa hiyo tuamini utekaji unaoendelea inawezekana ni mpango wa kumchafua JPM???
 
Magufuli hana mpinzani , lakini ndio mwenyekigoda.
 
2025 kama atakubali kutoka madarakani???kwanini asitoke wakati katiba haimruhusu...or ashaonesha dalili za uchu wa madaraka??
 
Tinga Tinga Forever. Mtasubiri sana Vibaraka. Urais hauolkotwi.
 
Katiba inasema miaka mitano. Hiyo saba labda akatawale kijijini kwenu huko. 2025 mwisho ateuliwe mwingine kama katiba inavyoagiza
Tunaenda na Magu mpaka 2022 ( Miaka 7 awamu ya kwanza) then anatuchukua awamu ya pili mpaka 2029 akimaliza hana cha kuongeza muda then ndio tunaanza kujadili wengine wa kumrithi
 
Tusiyo na vyama mmetuacha nje. Kuna kundi linasema Katiba ya CCM ilibadilishwa ili kuruhusu mgombea wake aendelee kugombea vipindi viwili, huku wengine wakisema Member 2020.

Kwa nini msipost hapa ibara za Katiba kwa wale wanaosema imebadilishwa post hapa hicho kifungu, kadhalika na wale wanaosema anaweza kugimbea na wao wapost hapa kifungu kinachomruhusu kugonbea .

Ninaamini kwa kufanya hivyo mtakuwa mnakata ushindani usio na maana. Tusaidieni kwa hilo.
 
We jua tu ninakosimamia lkn huo ndio ukweli halisi and you can do nothing bout it.
 
Suala la nguvu ya umma halipo hapa Tanzania ni lakufikirika....tunaangalia upepo unakokwenda
 
Hii nchi inamapoyoyo wengi sana no wonder watawala wetu hata wakitaka kutula matakoni wote tunabinua makalio tu
 
Katika mtu ovyo kabisa iliyewahi kukutana nae basi ni Membe huyo mtu jinga kabisa
 
Au ni miongoni mwa vigogo waliojimilikisha Mali ZA cc M ambao bashiru Kaapa kulala nao Mbele?
 
Alafu mnaosema Membe for 2020, hivi mmeisahau katiba ya ccm sijui ni taratibu yao waliyoipitisha kuwa Magu ndiye mgombea wa 2020? Au Membe ndio atakuja kuwa mgombea wa chadema? Akija Membe basi chadema itazidi kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…