MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Mfia chama.Huna hoja wewe...
Kutokukubalika na nani?
Ni lini Tanzania haikuwa na uhusiano kimataifa?
Kwani kwa sasa kuna katiba ya wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfia chama.Huna hoja wewe...
Kutokukubalika na nani?
Ni lini Tanzania haikuwa na uhusiano kimataifa?
Kwani kwa sasa kuna katiba ya wapi?
Kumekuwa na ubishani mkubwa kwamba Membe hawezi kumtoa Magufuli 2020 kwa sababu katika historia ya Tanzania hilo halikuwahi kutokea. Mimi nasema hapana,yote yanawezekana na sababu zipo lukuki!
Nikiangalia kwa upande wa CCM Mwanadiplomasia Bernard Membe ndiyo mtu pekee anayeweza kupindua meza kibabe pale CCM.
Acheni mawazo duni. Mbona babu zetu waliamini Nyerere na wenzake wangeweza kupindua meza kibabe ya mkoloni. Iliwezekana vipi?Ni mikakati kabambe inahitajika na siyo jambo la kitoto.
Sababu za Membe kufanikiwa hili ni nyingi kuliko kushindwa kwake.
1. Kutokubalika kwa Magufuli ndani na nje ya CCM
2. Kukosekana kwa utengamano wa kweli
3. Nia ya kuirudisha Tz kimataifa
4. Nia ya kurudisha mchakato wa Katiba ya Watanzania
5.nk
........... itaendelea(nitafafanua)
Tambua kuwa mbuyu ndiyo mti laini na rahisi kuukata haraka.Mtangoja sana walahi
CCM NI SHINA LA MBUYU HALITIKISIKI MILELE WALAHI View attachment 913473
2025 kama atakubali kutoka madarakani???kwanini asitoke wakati katiba haimruhusu...or ashaonesha dalili za uchu wa madaraka??Ndio maana kwa mawazo haya ya upinzani, CCM kuitoa madarakani itakua sio mchezo rahisi.
Magu ndiye Mwenyekiti wa CCM,Amiri jeshi mkuu,"sponsor mkuu",Anateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi etc na kwa mujibu wa katiba hii ya sasa he's the most powerful man in the country.
Sasa huyo Membe unayemsema sijui ana nini cha kumfanya awe powerful kiasi cha kumteteresha Magu?usije ukaanza kusema ooh sijui ni "spy master" maana ndio story zenu za gahawa.
Simtetei Magu lkn huo ndio ukweli na sanasana hizi thread zinampa Membe tabu sana huko aliko,2020 tuombe uzima hakuna wa kum challenge Magu sanasana tuwaze 2025 kama atakubali kutoka madarakani.
Tinga Tinga Forever. Mtasubiri sana Vibaraka. Urais hauolkotwi.Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
Mkuu viongozi wa ki Africa si unawaelewa lkn,unaweza shangaa tu yajayo yakafurahisha.2025 kama atakubali kutoka madarakani???kwanini asitoke wakati katiba haimruhusu...or ashaonesha dalili za uchu wa madaraka??
Tunaenda na Magu mpaka 2022 ( Miaka 7 awamu ya kwanza) then anatuchukua awamu ya pili mpaka 2029 akimaliza hana cha kuongeza muda then ndio tunaanza kujadili wengine wa kumrithi
We jua tu ninakosimamia lkn huo ndio ukweli halisi and you can do nothing bout it.Kwa kumponda Membe kwa arguments nyepesi kama hizi, nimeshaelewa unasimama wapi. CCM ni taasisi kubwa na lolote linaweza kutokea hiyo 2020?
Kila unachokiandika ni vitisho tu mkuu, humtendei haki unayemkingia kifua agombee kwa tiketi ya chama hiyo 2020.....
Suala la nguvu ya umma halipo hapa Tanzania ni lakufikirika....tunaangalia upepo unakokwendaSiungi mkono hujuma dhidi ya kiongozi aliyeko madarakani. Namkubali kwa sasa kwa sababu ni rais wangu.
Nakukumbusha tu lolote lawezekana ikiwapo nia....na kamwe usichezee nguvu ya umma.
Jifunze kwa yaliyotokea Libya, Misri na kwingineko.
Watanzania tumpe support kiongozi aliyeko madarakani kutimiza ahadi zake.
Hata kukosoa nako kunasaidia kuyatambua madhaifu yetu
Kama ndio hivyo, basi huu ni upepo tu unaopita....We jua tu ninakosimamia lkn huo ndio ukweli halisi and you can do nothing bout it.
Ni kweli ni upepo tu mkuu.Kama ndio hivyo, basi huu ni upepo tu unaopita....
Za alinacha...za mchana kabisa...Ndoto za mchana kweupe