Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Angalia luanzia dk 1:44.
 
True naunga mkono hoja Rais ajaye ni TUNDU LISSU na makamo Bi FATUMA KARUME

Hawa ndio watu waliobaki wanaaminika katika jamii ya watu wengi.
Na nje ya watu hawa wawili l Tundu na mwenzake.

HAMNA KIONGOZI WA UPINZANI AMBAYE NI FAIDA.

UPINZAN KM WATASHINDWA KUTUMIA FAIDA ALONAYO TUNDU LISSU , NDO BASIIII TENA.

ndomaana mkuu Lissu , anacheza na Time Table .
 
Mkuu Ndio mtanzania ambaye ANAKUBALIKA KTK NYANJA YA KITAIFA NA KIDUNIA .

Kwa ufupi, TUNDU LISSU , hana mawaa mawaaaa ni Msafi.
 
Mbeya tumetengwaje mkuu
 

Naomba niwaambieni kwa wale wambao mnafikiri ndani ya CCM hapawezi kua na mabadiliko yeyote ni kujidanganya kwa ssbabu ya mazoea ya nyuma, kwa vijana mliokua juzi yawezekana hamjui kitu ndio maana mnajipa matumaini kwa msilolijua. Hamuelewi na hamwezi kujua.

Siasa sio ubabe wala vitisho bali ni ufundi wa mtu kulingana na utashi wake. Ndani ya CCM kuna wanachama wenye kadi na katiba ya chama, wameisoma katiba na wanaelewa yaliyomo ndani yake na yanayoendelea hivi sasa. Ili kuepusha mgogoro ndani ya CCM ya sasa ni bora watu waachwe wateme nyongo zao kiliko kutumia mabavu na kukaa na mambo nyoni.

Kwa msiojua ni kwamba haya ya utawala huu wa sasa ni kwa sababu ya siasa za Bernard Membe ndani ya CCM, anajua ni wapi alijisahau na aliteleza na sasa anajiweka sawa asirudie makosa. Katiba ya chama inamruhusu kufanya hivyo, hayo mengine ya mwenyekiti wa sasa kurudi kugombea tena ni taratibu ilizo nje ya katiba na sio lazima.Waliofikiri asingeweza sasa wameina ni bora ngekua yeye kuliko tulikofikia.

Vijana wenzagu mkae mkitafakari kua Bernard Membe haya mawazo ya kutaka kua kiongozi wa taifa hili 2020 sio yake peke yake,atakua ameshauriwa na wazalendo wakongwe ambao tayari hawaridhishwi na upepo wa siasa za sasa. Mtu wa aina hii kutajwa sana sio kitu kidogo, kutakua na msukumo Mkubwa sana tena wa watu wanaojua ni wapi tupo hivi sasa.

Bernard Kamilius Membe akifanya mazoezi makali sana ya kukimbia

 
Membe akishika usukani wallahi watu watakimbilia Kenya.
 
Hakuna sababu ya msingi kati ya hizo ulizo zitaja, ndani ya ccm mwenyeki anakubalika sana, alafu in lini Tz haikua na uhusiano wa kimataifa?


Nahisi wewe ni kati ya wale wavulana was cdm ambao mnatumika vibaya, as sana ccm tuna imani kubwa na mwenyekiti wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…