Mpangawangu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 887
- 965
Kama unakumbuka jinsi mugabe alivyosalitiwa na aliowaamini,Mnangagwa alikuwa mpambe wa Mugabe lkn ndiyealieendesha mapinduzi ya rafiki yake Mugabe.
Membe anaweza kuandika historia hasa ukizingatia yeye ni nani ndani ya System ya usalama
Membe anaweza kuandika historia hasa ukizingatia yeye ni nani ndani ya System ya usalama