Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Mi nashangaa sana, mtu mjinga kama Membe mnamuwazia wazia urais? Kwa lipi?Membe huyuhuyu ndiye aje awe rais? acheni utani jamani!! Hii nchi si ya majaribio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nashangaa sana, mtu mjinga kama Membe mnamuwazia wazia urais? Kwa lipi?Membe huyuhuyu ndiye aje awe rais? acheni utani jamani!! Hii nchi si ya majaribio.
ahhahahaKwanini tusimweke Joti ama mchizi mox urais? Am sure utawala wao utakuwa na tija kuliko haya miphd Na mimaster holder ya kukariri iliyoshindwa kudeliver
Angalia luanzia dk 1:44.Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
Na nje ya watu hawa wawili l Tundu na mwenzake.True naunga mkono hoja Rais ajaye ni TUNDU LISSU na makamo Bi FATUMA KARUME
Hawa ndio watu waliobaki wanaaminika katika jamii ya watu wengi.
Mkuu Ndio mtanzania ambaye ANAKUBALIKA KTK NYANJA YA KITAIFA NA KIDUNIA .Mkuu umejuaje?? Hiyo sentensi ya mwisho ni sahihi kwa 100%.
Mungu umpe nguvu Role model wangu. Kuwa na rolemodel kama Lissu binafsi kumenipa mafanikio makubwa sana ya kimaisha kuliko wakati wowpte ule katk uhai wangu.
Asante Mungu kutupa Mwenye Haki Lissu.
Hahahahaha sasa ndo mjipange kumuachia Lissu Nchi .Tundulissu msaliti Hell no walahi
CCM itawavua suruale boys ‘ in tundu lissu voice ‘
Mta..,ja...mba cheche chadrama walahi
Mbeya tumetengwaje mkuuKwakweli WanaJF tujaribu kuwa na kiasi angalau kuhusu hili la Mzee Membe. Kulingana na mwenendo wa hali ya kisiasa hapa nchini kitu kikimkwaza 😵huwa anaonesha wazi kuwa huyo anayewavutia wengi ni kikwazo kwake katika mikakati yake ya kulazimisha kukubaliwa na hadhira yake. Kwasababu hii tu, naomba tuwe na kiasi kuhusu Membe tutamchonganisha na 😵 pia tutawasababishia wa Kusini kutengwa kimoja kama Mbeya...
Bernard Membe, sikia kilio toka kwetu,
Ni sisi vijana tusio na ajira na tuoiokosa matumaini,
Ni sisi Wafanyabiashara tuliokatika mazingira magumu na unyanyasaji toka kwa mamlaka za serikali,
Ni sisi Wana CCM tuliokosa imani na Mwenyekiti wa sasa,
Ni sisi Wanafunzi tuliokosa mikopo,
Ni sisi Wakulima wa korosho, tusiojua korosho zetu tuzipeleke wapi,
Ni sisi Wavuvi tunao nyanyaswaa kila kukichaa,
Ni sisi waandishi wa habari tunaonyanyaswa na kuteswa kutokana na kuandika ukweli,
Ni sisi wazazi tuliopoteza vijana wetu kwa kupotezwa na wasiojulikana,
Tunaomba Mh Membe, usikike kilio chetu Watanzania tuliokosa Matumaini katika Nchi yetu. Tinajua tunakupa mzigo mkubwa na kukuweka katika mazingira hatari.
Lakini kwakua Watanzania tunakuhitaji, hunabudi kubeba mzigo huu uutuee.
Tuna amini kwa busara na uelewa wa nyanja za kimataifa, Nchi yetu itakuwa salama mikononi mwako.
#MembeForPresidency2020
#JiweMustGo
Umeongea Mungu ?! Cio ki hivyoMagufuli hadi 2040
HILI NENO KWELI !!Hatutaki wasiojulikana kututawala, bora tuwe maskini lakini tuwe huru, mkuu wa wasiojulikana hatumtaki
Kwa vipi? Linawea kuwa chanzo cha anguko la Jiwe, who knows?Huko jumba jeupe la Giningi lipo jiwe linamsikia tu... narudia tena
Tunataka kumponza mzee huyu...
Naona kuna upepo wa mabadiliko ya mtizamo ndani ya chama.....Membe haiko peke yakeHuko jumba jeupe la Giningi lipo jiwe linamsikia tu... narudia tena
Tunataka kumponza mzee huyu...
Hakuna sababu ya msingi kati ya hizo ulizo zitaja, ndani ya ccm mwenyeki anakubalika sana, alafu in lini Tz haikua na uhusiano wa kimataifa?Kumekuwa na ubishani mkubwa kwamba Membe hawezi kumtoa Magufuli 2020 kwa sababu katika historia ya Tanzania hilo halikuwahi kutokea. Mimi nasema hapana,yote yanawezekana na sababu zipo lukuki!
Nikiangalia kwa upande wa CCM Mwanadiplomasia Bernard Membe ndiyo mtu pekee anayeweza kupindua meza kibabe pale CCM.
Acheni mawazo duni. Mbona babu zetu waliamini Nyerere na wenzake wangeweza kupindua meza kibabe ya mkoloni. Iliwezekana vipi?Ni mikakati kabambe inahitajika na siyo jambo la kitoto.
Sababu za Membe kufanikiwa hili ni nyingi kuliko kushindwa kwake.
1. Kutokubalika kwa Magufuli ndani na nje ya CCM
2. Kukosekana kwa utengamano wa kweli
3. Nia ya kuirudisha Tz kimataifa
4. Nia ya kurudisha mchakato wa Katiba ya Watanzania
5.nk
........... itaendelea(nitafafanua)