Mpangawangu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 887
- 965
Basi watachemka.Walomtaja MEMBE ..ndio hao hao vijana wa JIWE.
Membe hawezi ruhusu vijana wake wawe ivi HATA SIKU MOJA UKU AKIJUA ALOKO MAGOMENI NI JIWE.
hawa nivijana wa Mitandaoni wa Jiwe, na usikute niwale waloitwa na Mtume Paul nahii ndo kazi walopewa ,ili mradi kumfanya Membe ajitafakari.
Mbona nirahisi kuelewa mchezo ulivo.
Sgr, stingler zipo wapi? Maneno?? Flyover zenyewe ni za Jk, hakuna mradi mpya.Binaadamu hamna shukurani JPM kajitahidi kujenga hii nchi kwa kuleta SGR, flyover, Dreamliner stingler, nidhamu kazini nk....ila mnaona hafai mnamletea mpizani mapema hata kabla ya mhula wa kwanza kuisha, CCM hamna shukurani kabisa mnataka viongozi mafisadi tu.
Binaadamu hamna shukurani JPM kajitahidi kujenga hii nchi kwa kuleta SGR, flyover, Dreamliner stingler, nidhamu kazini nk....ila mnaona hafai mnamletea mpizani mapema hata kabla ya mhula wa kwanza kuisha, CCM hamna shukurani kabisa mnataka viongozi mafisadi tu.
Sauti zipi mkuu????Hivi sauti zinazomtaja Membe zinatoka ndani ya ccm ama nje ya CCM, maana mpaka sasa sielewi kuhusu hizi kelele lengo lao ni lipi.... Zaidi nasikia Membe! Membe!Membe! Membe.
Kwa anayejua kuhusu hizi kelele zinakoanzia na zinakoelekea anifafanulie tafadhali.
Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
Ndani ya CCM, nje waliamini Adium yao mkubwa ni Tundu Lissu na walibuni njia za “ku dili “ nae nje ya bunge.
Sasa ulitaka ndani waandamane? Ni mpaka nguo zianikwe ndiyo unajua kuwa jirani yako leo alifua.Kwa hiyo unataka kuniambia hizi kelele ni mikakati ya ndani ya CCM?..
Mbona kama uchochezi uko nje zaidi kuliko ndani.
Hivi sauti zinazomtaja Membe zinatoka ndani ya ccm ama nje ya CCM, maana mpaka sasa sielewi kuhusu hizi kelele lengo lao ni lipi.... Zaidi nasikia Membe! Membe!Membe! Membe.
Kwa anayejua kuhusu hizi kelele zinakoanzia na zinakoelekea anifafanulie tafadhali.
Sauti zipi mkuu????
Kwa hiyo hizi kelele ni ndani ya ccm ama nje ya ccm.?Hiyo ndio siasa, hakuna mwenye hati miliki ya cheo cha urais. Hujaona kuna kelele za kutaka katiba ibadilishwe ili atawale zaidi? Kuna ubaya gani wakijitokeza wengine kuonyesha hafai hata kuvuka miaka mitano?
Bado miaka miwili, SGR utaiona tu bombandier na dreamliner madaraja vyote vipo.....apewe mda tu viwanda kila siku vinaongezeka sasa vimefika 1208 mwaka huu tu.Sgr, stingler zipo wapi? Maneno?? Flyover zenyewe ni za Jk, hakuna mradi mpya.
Kwa hiyo unataka kuniambia hizi kelele ni mikakati ya ndani ya CCM?..
Mbona kama uchochezi uko nje zaidi kuliko ndani.
Membe mtu makini sana.Huko jumba jeupe la Giningi lipo jiwe linamsikia tu... narudia tena
Tunataka kumponza mzee huyu...
Kwa hiyo hizi kelele ni ndani ya ccm ama nje ya ccm.?