Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Hatushindani mkuu Mimi nimekushauri tu!!!weka masahihisho hapo ili twende sambamba.. na usiishie kusema tu ningeandika kwa kiswaz nasubiri majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatushindani mkuu Mimi nimekushauri tu!!!weka masahihisho hapo ili twende sambamba.. na usiishie kusema tu ningeandika kwa kiswaz nasubiri majibu
Wabadilishe tume ya uchaguzi kwanza ndiyo tutarajie makuuMatarajio kwa chadema ni lisu kugombea uraisi 2020.jiwe hatochomoka kwa huyu mhe lissu.
nataka kujifunza na siku nyingine nisiandike makosaHatushindani mkuu Mimi nimekushauri tu!!!
Anahulika vizuri, ni kama sarafu ambayo upande mmoja una picha yake na ukiigeuza upande wa pili ina picha ya Jaa kaayaa.humjuwi Membe vizuri wewe.
Hauna historia za kutosha, kuna watu walikuwa na nguvu Kubwa zaidi ya hizo but walivotoka no body hakuamini. Soma historia usiwe mvivu kusomaNdio maana kwa mawazo haya ya upinzani, CCM kuitoa madarakani itakua sio mchezo rahisi.
Magu ndiye Mwenyekiti wa CCM,Amiri jeshi mkuu,"sponsor mkuu",Anateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi etc na kwa mujibu wa katiba hii ya sasa he's the most powerful man in the country.
Sasa huyo Membe unayemsema sijui ana nini cha kumfanya awe powerful kiasi cha kumteteresha Magu?usije ukaanza kusema ooh sijui ni "spy master" maana ndio story zenu za gahawa.
Simtetei Magu lkn huo ndio ukweli na sanasana hizi thread zinampa Membe tabu sana huko aliko,2020 tuombe uzima hakuna wa kum challenge Magu sanasana tuwaze 2025 kama atakubali kutoka madarakani.
Hana cha ujasusi wowote, nawaambieni acha kudanganyana kama watoto wa primaryMembe atosha!
Sababu kuu za kwenda na Membe
1. Amejiandaa kuwa rais
2. Ni jasusi aliyebobea anaijua nchi nje ndani
3. Ni mwanadiplomasia mkomavu anajua kucheza na siasa za kimataifa, atasaidia sana kushawishi wawekezaji
4. Ni mstaarabu, mpole na mwenye kupiga hesabu kwa kila hatua
5. Ana akili nyingi sana, ana First class chuo kikuu, hivyo ana IQ kubwa sana
6. Hatoumiza wapinzani, kuwanunua kwa sababu anaamini katika siasa za hoja na maswala.
Cammilius 2020 Atosha
Yes He Can!
Siyo kweli hiyo ilikuwa zamani wakati wa teknolojia dhaifu lakini kwa sasa hakuna cha mbuyu wala mlima ndani ya dakika moja mbuyu au mlima utaangushwa chiniMtangoja sana walahi
CCM NI SHINA LA MBUYU HALITIKISIKI MILELE WALAHI View attachment 913473
.......WEWE JAMAA UPO AKILIN MWANGU..KWA TAARIFA NIKWAMBA, LISSU KESHAPONA, ILA ANACHELEWESHWA ,ANARUDI KUJA KUGOMBEA URAIS UKU ULINZI WAKE UKIWA UMEKAMILISHWA VEMA.
NYUMA YAKE AKIWA NA NGUVU KUBWA YA ULAYA NA MAREKANI .
FAIDA YA YEYE KURUDI WAKAT WA UCHAGUZI NIMBILI
[emoji117][emoji117]RAIA WENGI WATAKUA NA SHAUKU KUBWA YA "ALOPIGWA RISAS"...hii ni faida kwa Lissu kwa kua ana HURUMA YA TAIFA.
[emoji117][emoji117][emoji117]JIWE HATOPATA MUDA WA KUMCHAFUA KWA MBINU ZAO .
Ndoto za mchana kweupe
Wapinzani wanafiki mzee tunapoteza mda bora tukomae na CCM tuchague chaguo sahihi kuliko kupotenza nguvu upinzaniMkuu kama tunahitaj membe awe raisi, ina maana bado tunahitaji ccm iendelee kuwepo madarakani? Kwa nn hizi nguvu tusiziongezee kwenye wagombea wa upinzani?
Mbona thread za Membe some kiss nyingi humu JF? Kumbukeni Kanuni za uchaguzi za CCM, hukusu kuanza kampeni mapema. Kama mnampenda Membe acheni kuweka hizi thread. Asije akawekwa BENCHI kama Fulani.
Wanaccm watamshindikiza jiwe tume ibadilishe na tume kuwa huru.Wabadilishe tume ya uchaguzi kwanza ndiyo tutarajie makuu
Tuombe mungu kama kweli watakubali hii itume inayowabeba ibadilishweWanaccm watamshindikiza jiwe tume ibadilishe na tume kuwa huru.
Ni kweli,lakini ukweli upo pale,nec haina imani tena na jiwe ndo maana wanaccm wanapendekeza membe agombee maana wajumbe walipunguzwa nec ni chanzo cha kuona jiwe ni bomu angamizi.Tuombe mungu kama kweli watakubali hii itume inayowabeba ibadilishwe
uongoTanzania ya pili katika nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi Afrika
Tanzania ya pili katika nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi Afrika – Millardayo.com