Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Ndio maana kwa mawazo haya ya upinzani, CCM kuitoa madarakani itakua sio mchezo rahisi.

Magu ndiye Mwenyekiti wa CCM,Amiri jeshi mkuu,"sponsor mkuu",Anateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi etc na kwa mujibu wa katiba hii ya sasa he's the most powerful man in the country.

Sasa huyo Membe unayemsema sijui ana nini cha kumfanya awe powerful kiasi cha kumteteresha Magu?usije ukaanza kusema ooh sijui ni "spy master" maana ndio story zenu za gahawa.

Simtetei Magu lkn huo ndio ukweli na sanasana hizi thread zinampa Membe tabu sana huko aliko,2020 tuombe uzima hakuna wa kum challenge Magu sanasana tuwaze 2025 kama atakubali kutoka madarakani.
Hauna historia za kutosha, kuna watu walikuwa na nguvu Kubwa zaidi ya hizo but walivotoka no body hakuamini. Soma historia usiwe mvivu kusoma
 
Membe atosha!

Sababu kuu za kwenda na Membe

1. Amejiandaa kuwa rais
2. Ni jasusi aliyebobea anaijua nchi nje ndani
3. Ni mwanadiplomasia mkomavu anajua kucheza na siasa za kimataifa, atasaidia sana kushawishi wawekezaji
4. Ni mstaarabu, mpole na mwenye kupiga hesabu kwa kila hatua
5. Ana akili nyingi sana, ana First class chuo kikuu, hivyo ana IQ kubwa sana
6. Hatoumiza wapinzani, kuwanunua kwa sababu anaamini katika siasa za hoja na maswala.

Cammilius 2020 Atosha
Yes He Can!
Hana cha ujasusi wowote, nawaambieni acha kudanganyana kama watoto wa primary
Ujasusi umeupimaje??
Acha stori
 
WEWE JAMAA UPO AKILIN MWANGU..KWA TAARIFA NIKWAMBA, LISSU KESHAPONA, ILA ANACHELEWESHWA ,ANARUDI KUJA KUGOMBEA URAIS UKU ULINZI WAKE UKIWA UMEKAMILISHWA VEMA.

NYUMA YAKE AKIWA NA NGUVU KUBWA YA ULAYA NA MAREKANI .

FAIDA YA YEYE KURUDI WAKAT WA UCHAGUZI NIMBILI

[emoji117][emoji117]RAIA WENGI WATAKUA NA SHAUKU KUBWA YA "ALOPIGWA RISAS"...hii ni faida kwa Lissu kwa kua ana HURUMA YA TAIFA.

[emoji117][emoji117][emoji117]JIWE HATOPATA MUDA WA KUMCHAFUA KWA MBINU ZAO .
.......
......Mkuu wasisikie
 
Mbona thread za Membe some kiss nyingi humu JF? Kumbukeni Kanuni za uchaguzi za CCM, hukusu kuanza kampeni mapema. Kama mnampenda Membe acheni kuweka hizi thread. Asije akawekwa BENCHI kama Fulani.

Hakuna ushahidi kwamba ameanza kampeni ila inaonekana watu wanataka agombee urais
 
Tuombe mungu kama kweli watakubali hii itume inayowabeba ibadilishwe
Ni kweli,lakini ukweli upo pale,nec haina imani tena na jiwe ndo maana wanaccm wanapendekeza membe agombee maana wajumbe walipunguzwa nec ni chanzo cha kuona jiwe ni bomu angamizi.
 
Back
Top Bottom