Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Hauna historia za kutosha, kuna watu walikuwa na nguvu Kubwa zaidi ya hizo but walivotoka no body hakuamini. Soma historia usiwe mvivu kusoma
 
Hana cha ujasusi wowote, nawaambieni acha kudanganyana kama watoto wa primary
Ujasusi umeupimaje??
Acha stori
 
.......
......Mkuu wasisikie
 
Mbona thread za Membe some kiss nyingi humu JF? Kumbukeni Kanuni za uchaguzi za CCM, hukusu kuanza kampeni mapema. Kama mnampenda Membe acheni kuweka hizi thread. Asije akawekwa BENCHI kama Fulani.

Hakuna ushahidi kwamba ameanza kampeni ila inaonekana watu wanataka agombee urais
 
Tuombe mungu kama kweli watakubali hii itume inayowabeba ibadilishwe
Ni kweli,lakini ukweli upo pale,nec haina imani tena na jiwe ndo maana wanaccm wanapendekeza membe agombee maana wajumbe walipunguzwa nec ni chanzo cha kuona jiwe ni bomu angamizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…