Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

 
Mnaboa sana ngoja tuwaambie ukweli tu. Magu ndiyo ntolee hiyo yaana tutafanya kama china wamempa rais wao kuongoza hadi 2035.
Au kama Ujerumani walivyompa Agera Mark vipindi vinne zaidi vya miaka minne minne kwani anamaslahi na nchi yake sawa.
Nasisi tutaangalia na tumeshaona Magu anatufaa hadi 2035.
 
Habari wana jamvi.. Leo nimekutana na nguli wa diplomasia katika Mishe mishe za hapa na pale, nikapata walau lisaa La kupiga nae story.

Kasema amewamiss sana Watanzania. Amewakumbuka sana hivi karibuni na pia anawatakia jumapili njema.

Nawasilisha.
 
Ni kweli mkuu ila kwa mambo yalivyo hivi sasa tusishangae kusikia siku moja membe katekwa na wakishamweka huko muda wa kutosha akirudi uraiani hatutasikia akijishughulisha tena na mambo ya urais....!
 
2015 vijana kadhaa walipata ofa kwenda China kwa hisani ya Mhe. Lakin wote mashahid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…