Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Membe for presidency 2020....ANATOSHA CCM wakichezea hiyo nafasi basi wameumia.
 
Mambe kafanyeje!??

Mbona anazungumzwa sana sasa hivi..!?

Kuna nini hukoo!!??
 
Hauna historia za kutosha, kuna watu walikuwa na nguvu Kubwa zaidi ya hizo but walivotoka no body hakuamini. Soma historia usiwe mvivu kusoma
Nilichoandika na ulichojibu ni kama mbingu na ardhi,try to be reasonable.
 
Duuu sibure,Membe hawezi kuwa Rais.Kwa mizizi aliyoikita jiwe,musahau hii ndoto
 
Habari wana jamvi.. Leo nimekutana na nguli wa diplomasia katika Mishe mishe za hapa na pale, nikapata walau lisaa La kupiga nae story.

Kasema amewamiss sana Watanzania. Amewakumbuka sana hivi karibuni na pia anawatakia jumapili njema.

Nawasilisha.
Baada ya kukutana na wewe kama dakika kumi hivi nilifanya naye mazungumzo, akaniambia huyu jamaa Musyoks sio wa kumwamini kabisaa. Unamwambia hivi yeye anabadilisha maneno anasema vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…