chegreyson
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 974
- 434
Mkuu namna pekee ya Member kugombea urais kwa ticket ya ccm,ni mpaka raise Magufuli atangaze kwamba hatagombea urais mwaka 2020.Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
Lakini Kama rais Magufuli ataamua kutetea kiti cake,Members atasubiri Hadi mwaka 2025,ambapo umri utakuwa umemtupa mkono.
Anaweza kuwa mgombea was chama kingine akiamua kuondoka ccm Kama ilivyokuwa kwa lowassa mwaka 2015.