bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Utakuwa mke THE MAN wewe.jamani hizi topics za Membe leo kulikoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa mke THE MAN wewe.jamani hizi topics za Membe leo kulikoni?
acha kupanic omba uzimaAcha kuota ww
Mzee Humphrey Polepole amekusikia. Atalijadili na wazee wenzake. Asante...Ni malaika mwema ameniagiza. Nawaomba wazee wa CCM walione hili na kulitafakari kwa kina.
Hakuna kitu...they are westing their time...big timeKuna jambo litatokea wallahi, sio kwa ujio huu
lawama zote kwa JohnRais Magufuli hata kura za Maoni hawezi kutoboa kama ngoma itasimama kwa haki na usawa! Na pia kuna watu wengi mtaani wanamsema vibaya sana Magufuli. Na ndiyo maana wakati mwingine kujiandaa kuingia kwenye siasa za Kidikteta Nchini au CCM ikubali kubadilisha utaratibu wake wa kihafidhina ili Chama kimtose kabisa Uchaguzi mkuu 2020. We don't need Rais Magufuli anymore.
haha maisha yatakuwa haya kutendei haki mkuuJamani hili dili la kumsifia Membe linapatikanaje?
Hela za Lowassa zilinipita, hizi za Membe zisinipite kabisa.
ANAKUFAA WEWE NA MKEOMnaboa sana ngoja tuwaambie ukweli tu. Magu ndiyo ntolee hiyo yaana tutafanya kama china wamempa rais wao kuongoza hadi 2035.
Au kama Ujerumani walivyompa Agera Mark vipindi vinne zaidi vya miaka minne minne kwani anamaslahi na nchi yake sawa.
Nasisi tutaangalia na tumeshaona Magu anatufaa hadi 2035.
Bavicha wanatia Huruma sana, kwahiyo lowasa ndo wamemtosa wako kwa membe ?Naona Chadema mmekuwa team membe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli magu noma
Jiongeze mama .jamani hizi topics za Membe leo kulikoni?
Nakukumbusha tu na wewe umempigia simu malaika??Na huyo Membe anavyofanyiwa promo, hivi hata umekumbuka kumpigia simu babako kumtakia Jumapili njema?
Unaona umeandikaaaa!!kumbe hujui lililotokea.Umeandika utumbo tu hapa.Lowassa alitumia miaka 10 kujitangaza mitandaoni na kuwatumia viongozi wa dini eti wanamuomba kugombea urais na zaidi ya yote lowassa alikuwa kila mtu mwenye harambee lowassa anaomba awe mgeni rasmi na kutoa mafedha kedekede , akaanza kupanga safu yake ya uongozi kwenye jumuiya za ccm kuanzia vijana, UWT, jumuiya ya wazazi , wajumbe wa NEC , wajumbe Wa mkutano mkuu.
Kikwete akiwa rais akawa anamchora tu akijua wapi atakapomfyekelea mbali, kikwete yeye akaanza kupanga safu ndogo sana ya kamati ya maadili Kwa kuwaweka watu wake na kuhakikisha watu wenye damu ya lowassa hawapo,ilipofika muda kikwete akiwa na kamati isiyozidi watu 10 akamfyekelea mbali.
Shikamoo kikwete