Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Rais Magufuli hata kura za Maoni hawezi kutoboa kama ngoma itasimama kwa haki na usawa! Na pia kuna watu wengi mtaani wanamsema vibaya sana Magufuli. Na ndiyo maana wakati mwingine kujiandaa kuingia kwenye siasa za Kidikteta Nchini au CCM ikubali kubadilisha utaratibu wake wa kihafidhina ili Chama kimtose kabisa Uchaguzi mkuu 2020. We don't need Rais Magufuli anymore.
lawama zote kwa John

ney wa mitego
 
Kwa uchache;
1.Mpole
2.Mtulivu
3.Mwenye Hekima
4.Hana chembechembe za UDIKTETA
5.Hatumii MABAVU
6.Mchapakazi

Watanzania tunataka mabadiliko..KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI..CCM OYEE!!.
 
Mnaboa sana ngoja tuwaambie ukweli tu. Magu ndiyo ntolee hiyo yaana tutafanya kama china wamempa rais wao kuongoza hadi 2035.
Au kama Ujerumani walivyompa Agera Mark vipindi vinne zaidi vya miaka minne minne kwani anamaslahi na nchi yake sawa.
Nasisi tutaangalia na tumeshaona Magu anatufaa hadi 2035.
ANAKUFAA WEWE NA MKEO
 
Naona Chadema mmekuwa team membe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli magu noma
 
Lowassa alitumia miaka 10 kujitangaza mitandaoni na kuwatumia viongozi wa dini eti wanamuomba kugombea urais na zaidi ya yote lowassa alikuwa kila mtu mwenye harambee lowassa anaomba awe mgeni rasmi na kutoa mafedha kedekede , akaanza kupanga safu yake ya uongozi kwenye jumuiya za ccm kuanzia vijana, UWT, jumuiya ya wazazi , wajumbe wa NEC , wajumbe Wa mkutano mkuu.
Kikwete akiwa rais akawa anamchora tu akijua wapi atakapomfyekelea mbali, kikwete yeye akaanza kupanga safu ndogo sana ya kamati ya maadili Kwa kuwaweka watu wake na kuhakikisha watu wenye damu ya lowassa hawapo,ilipofika muda kikwete akiwa na kamati isiyozidi watu 10 akamfyekelea mbali.
Shikamoo kikwete
Unaona umeandikaaaa!!kumbe hujui lililotokea.Umeandika utumbo tu hapa.
 
Back
Top Bottom