Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Haya bhana naona ukawa wamemsajili ila so kwa anko kumtoa
 
Wengi Wape!
 
Huyu si ndiyo kale kajamaa kalikokuwa kanakula njama na wazungu wa migodi na kulikosesha taifa fedha za kigeni? Hata iweje hawezi kuwa rais wa nchi hii, atendelea kupiga kelele tu mpaka ataachana na siasa. Hapa rais ni Magufuli tu no matter what.
Magufuli mwenyewe kasema yeye ni "chizi"....raisi anayekula njama..na Raisi CHIZI yupi bora?!
 
Membe 2020
Yes he can!

Cammilius Songa mbele mzee baba
Kosa siyo kufanya kosa
Kosa ni kurudia kosa!

Cha maana utuonyeshe kuwa kweli unautaka uraisi
Na uwe jasiri kuchukua fomu
The rest atuachie sisi wananchi!
Nachokiona 2020 ni uchaguzi wa mauaji ya halaiki,Magufuli ameshaunda kikosi cha wauaji nje ya system ya TISS,ameshajua kuwa hatakiwi na wanachama wengi wa CCM na watanzania pia.
Kitakachotokea ni watu kuanza kupotezwa na kutekwa kuelekea 2020.
 
Kwa Tanzania hii ya vichwa maji kama nyie CCM itatawala milele.

Mmeacha kujadili mjadala muhimu wa korosho mnajadili uhaini ?[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
2020 kwa kanuni za chama chetu ni JPM anatetea kiti hao wengine wasubiri 2025. hizo propaganda mnazoanzisha hazina mashiko. BADO TUNA IMANI NA JPM TUNAHITAJI HUDUMA YAKE HADI 2025 KUNA MAMBO MENGI YANAHITAJI YEYE KAMA YEYE AWEZE KUYASHUGHULIKIA IKIBIDI AENDELEE TU HADI 2035
 
...kwa hiyo wewe na akili zako kabisa unaamini Membe anaweza kuwa rais wa nchi hii mzuri ?!!.....hizo nafasi alizobebwabebwa ndio kipimo mnachompimia..?
....hamko serious kabisa
Kama wengine wameweza kwa nn yeye ashindwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…