Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Naomba niwaambieni kwa wale wambao mnafikiri ndani ya CCM hapawezi kua na mabadiliko yeyote ni kujidanganya kwa ssbabu ya mazoea ya nyuma, kwa vijana mliokua juzi yawezekana hamjui kitu ndio maana mnajipa matumaini kwa msilolijua. Hamuelewi na hamwezi kujua.

Siasa sio ubabe wala vitisho bali ni ufundi wa mtu kulingana na utashi wake. Ndani ya CCM kuna wanachama wenye kadi na katiba ya chama, wameisoma katiba na wanaelewa yaliyomo ndani yake na yanayoendelea hivi sasa. Ili kuepusha mgogoro ndani ya CCM ya sasa ni bora watu waachwe wateme nyongo zao kiliko kutumia mabavu na kukaa na mambo nyoni.

Kwa msiojua ni kwamba haya ya utawala huu wa sasa ni kwa sababu ya siasa za Bernard Membe ndani ya CCM, anajua ni wapi alijisahau na aliteleza na sasa anajiweka sawa asirudie makosa. Katiba ya chama inamruhusu kufanya hivyo, hayo mengine ya mwenyekiti wa sasa kurudi kugombea tena ni taratibu ilizo nje ya katiba na sio lazima.Waliofikiri asingeweza sasa wameina ni bora ngekua yeye kuliko tulikofikia.

Vijana wenzagu mkae mkitafakari kua Bernard Membe haya mawazo ya kutaka kua kiongozi wa taifa hili 2020 sio yake peke yake,atakua ameshauriwa na wazalendo wakongwe ambao tayari hawaridhishwi na upepo wa siasa za sasa. Mtu wa aina hii kutajwa sana sio kitu kidogo, kutakua na msukumo Mkubwa sana tena wa watu wanaojua ni wapi tupo hivi sasa.
Kwa kweli, 2020 atafaa mtu yeyote isipokuwa hili jambazi la sasa!
 
urais wa magu ulikuwa N gift from heaven
na Wala haukutokana na mpasuko wa hizi team mbili.
pia ile battle Kati ya membe vs lowassa ilikuwa ni njia tu.ya kumpitisha Mr john.
Mr john anawindwa sanaa. (rohoni na mwilini) na bahat mbaya hilo hatambui .hata Yule aliyempa zawadi (Above all) nadhani Anajuta au atampindua coz ya mambo yake
swala la membe vs lowassa
wote wapo na agenda moja na wote wapo "Mahali pa moja"
isipokuwa sasa.wote wanautamani uraisi na hilo haliwez kuwa na marais wa wili ndan ya Taifa moja.
ushauri wangu.wakubaliane kuwa Nani awe rais/Nani agombee hapo wataenda Sawaaa lakin bahat mbaya wote hapo HAWAWEZI KUWA MARAIS.
Paschal kuna Uzi alianzishaga kuhusu JPM kuwa Raisi humo umu. Naamini Raisi huandaliwa mapema mno ni sisi tu hatujui@Paschal Mayala
 
Mungu ibariki Tanzania.Unavyoangalia nchi zingine na sisi usitupite.
 
kwangu yeyote anafaa alimradi asiwe Mzanzibari. Magu kashindwa 2020 angepisha tu tumwite rais mstaafu
 
kwangu yeyote anafaa alimradi asiwe Mzanzibari. Magu kashindwa 2020 angepisha tu tumwite rais mstaafu
Wazee wa buku 2 Magu yuuupo saaana. Mtasubiri saana, Rais na Mwenyekiti wa CCM yupo ndio Maana mnamuita Jiwe kwa kuwa mnamjua kuwa yupo na ni strong ever.
 
Habari wakuu

Kutokana na hali inavyoenda ya uendeshaji wa nchi ni wazi rais anatakiwa abadilishwe kupitia sanduku la kura mwaka 2020

Hivyo sisi watanzania tunapenda na tunatamani kusikia sauti ya kiongozi wetu mpendwa mwenye nia ya kulivusha taifa kwa hapa lilipokwamia, ndugu, mheshimiwa na mwanadiplomasia Benard Membe

Jitokeze wazi tusikie kauli yako watanzania tufarijike kwani mwaka 2020 ni jirani sana

Nawasilisha
 
Atagombea kupitia chama gani? Maana kwa CCM wana utaratibu wa kumwachia Rais aliyepo madarakani, labda kama utaratibu utabadilishwa. Membe asijitafutie mabalaa.
Hakuna cha balaa mkuu ni haki yake kama ataona inafaa na HAKIKA anafaa, Jiwe apumzishwe!
 
Wazee wa buku 2 Magu yuuupo saaana. Mtasubiri saana, Rais na Mwenyekiti wa CCM yupo ndio Maana mnamuita Jiwe kwa kuwa mnamjua kuwa yupo na ni strong ever.
mkuu yuko kwa maslahi ya nani? mbona wanyonge wanalia? korosho bei mbaya. kahawa ndo usiseme. kama mnakula kwake mteteeni mkuu ni haki yenu ila sisi watu wetu hali mbaya kiuchumi.
 
Abali nikwamba tusidanganyane wapinzani kuchukua nch bado sana atakama ccm ya leo yote iamie upinzani afu ccm mpya iundwe upinzani bado nasema bado sanaaaaaaa
 
Back
Top Bottom