Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Kwa kweli, 2020 atafaa mtu yeyote isipokuwa hili jambazi la sasa!
 
Paschal kuna Uzi alianzishaga kuhusu JPM kuwa Raisi humo umu. Naamini Raisi huandaliwa mapema mno ni sisi tu hatujui@Paschal Mayala
 
Mungu ibariki Tanzania.Unavyoangalia nchi zingine na sisi usitupite.
 
kwangu yeyote anafaa alimradi asiwe Mzanzibari. Magu kashindwa 2020 angepisha tu tumwite rais mstaafu
 
kwangu yeyote anafaa alimradi asiwe Mzanzibari. Magu kashindwa 2020 angepisha tu tumwite rais mstaafu
Wazee wa buku 2 Magu yuuupo saaana. Mtasubiri saana, Rais na Mwenyekiti wa CCM yupo ndio Maana mnamuita Jiwe kwa kuwa mnamjua kuwa yupo na ni strong ever.
 
Habari wakuu

Kutokana na hali inavyoenda ya uendeshaji wa nchi ni wazi rais anatakiwa abadilishwe kupitia sanduku la kura mwaka 2020

Hivyo sisi watanzania tunapenda na tunatamani kusikia sauti ya kiongozi wetu mpendwa mwenye nia ya kulivusha taifa kwa hapa lilipokwamia, ndugu, mheshimiwa na mwanadiplomasia Benard Membe

Jitokeze wazi tusikie kauli yako watanzania tufarijike kwani mwaka 2020 ni jirani sana

Nawasilisha
 
Atagombea kupitia chama gani? Maana kwa CCM wana utaratibu wa kumwachia Rais aliyepo madarakani, labda kama utaratibu utabadilishwa. Membe asijitafutie mabalaa.
Hakuna cha balaa mkuu ni haki yake kama ataona inafaa na HAKIKA anafaa, Jiwe apumzishwe!
 
Wazee wa buku 2 Magu yuuupo saaana. Mtasubiri saana, Rais na Mwenyekiti wa CCM yupo ndio Maana mnamuita Jiwe kwa kuwa mnamjua kuwa yupo na ni strong ever.
mkuu yuko kwa maslahi ya nani? mbona wanyonge wanalia? korosho bei mbaya. kahawa ndo usiseme. kama mnakula kwake mteteeni mkuu ni haki yenu ila sisi watu wetu hali mbaya kiuchumi.
 
Abali nikwamba tusidanganyane wapinzani kuchukua nch bado sana atakama ccm ya leo yote iamie upinzani afu ccm mpya iundwe upinzani bado nasema bado sanaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…