Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

''Sisi watanzania'' hao kina sisi unamaanisha nani na nani??? Maana unajumuisha watu as if tulikaa watz wote tukaamua huyo ugoro wako ulouleta...siku nyingine andika wewe na mke wako na familia yako sio..''SISI WATANZANIA''
 
Wadau heshima na iwe kwenu

Mimi sio mshabiki sana Wa maswala ya siasa. Lakini nimekaa nikatafakari kwa kina sana kuhusu uchaguzi ujao 2020 ni nani atakeweza kubeba dhamana ya kuiongoza nchi hii baada ya kiongozi Wa sasa kushindwa vibaya

Kiukweli Membe unatufaa sana, Membe ni kiongozi unayejua uongozi, unafanya vitu kwa busara haukurupuki katika maamuzi

Tunakuomba Membe usiogope mtu tangazo nia sisi tunakuunga mkono unafaa kuliongoza taifa hili

Tunakupenda na tunakuomba usituangushe

Usiogope mtu membe hii nchi ni huru
Kila lakheri our next president

BENARD MEMBE FOR PRESIDENT 2020-2025
 
katema cheche balaa.......

kataja watu 14 wanaomrudisha nyuma Ngosha...
Ila mambo mengine ni ya ajabu sana, kwa katiba yetu iliyompa madaraka makubwa sana Rais halafu bado watu 14 tu wanamrudisha nyuma kama hizo taarifa ni za kweli basi tuna Rais mchovu na dhaifu sana kupita maelezo.
 
Na akimaliza muda wake au akitoka huyu tutaangalia nchi tumpe ama Profesa Makame Mbarawa au Dkt. Hussein Mwinyi kwani GENTAMYCINE navutiwa nao sana Kiuongozi na nawaona ni ' Potential Candidates ' kwa mwaka 2025 na wakitaka wanifurahishe kabisa kama mmoja wao akichua nchi basi Uwaziri Mkuu ampe / apewe Waziri ninayemkubali katika Awamu hii ya JPM aitwae Suleiman Jaffo. Naamini CCM hawataniangusha katika ' machaguo ' yangu haya na yatakuwa kama ninavyoyaombea yawe lakini wakijisahau au kujiroga tu wampe Membe ndipo mtajua kuwa kumbe hata Tanzania ' Waasi ' wapo ila wametulia tu wakiusoma mchezo na ' nitakinukisha ' Tanzania nzima hadi Membe akimbie nchi.
Mmmh kwakwel GENTAMYCINE bwana [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hivi ubaya wa magufuli uko wap...membe membe,mnataka kuweka business as usual ikulu..pa.mbaf kabsa...

Maguful is the best choice Tz has ever made

Fanyeni kaz.achanen na ujinga.
Membe will never ever ever ever get into that chair,..believe me

Labda kama serikal serikal imelala.hahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahaahahahahahahahah
 
Utakula diplomasia? Pumbavu
Kama tulikula majani na mchanga ili ndege ya Rais inunuliwe ndo itakua kula diplomasia, tutakula tu ili mradi MEMBE aingie ikulu. Pumbavu
 
Hivi tanzania naninalituroga, kweli membe mnataka awe rais wenu. Haya, mark my words membe ni nudgu yake na mzee wa pikitic so mtegemee picnic tena
 
Back
Top Bottom