Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Nna mwaka sasa nazungushwa malipo yangu ya kupanda cheo..ila naambiwa nipige kazi moyo wa kufany kaz ntaupata wap
Bora wewe mkuu upo kazini una mshahara mwisho wa mwezi, kuna maelfu ya vijana wamemaliza vyuo hawana ajira tokea 2015 alipoingia bazazi wa demokrasia, maelfu wamefukuzwa kazi, hakuna fao la kujitoa, watumishi wanapelekeshwa mpaka kupigishwa magoti na wakuu wa wilaya/mikoa, wengine wanaondolewa kwa vyeti feki wengine wanaachwa, wengine wanabomolewa nyumba zao walizozijenga kwa kujinyima ila wasukuma wapiga kura wake anawakingia kifua.... wabunge wanajaribu kuwatetea wapiga kura wao jiwe anatishia kuwapiga mijeredi shangazi zao...
 
Jasusi mbobezi na mwanadiplomasia aliyetukuka rais ajaye kabla 2020 ndugu Bernard Kamillus Membe kama angekuwa leo rais Swala la kuuwawa Khashoggi angeingilia kati na kutuliza mambo kwa njia ya upatanishi na diplomasia.

Akiwa waziri wa mambo ya nje awamu ya 4 Membe aliweza kuiweka karibu sana Tanzania na mataifa ya uturuki na Saudi Arabia.

Pia Membe angekuwa rais angeenda mbali zaidi kwa kuwaleta karibu Saudi Arabia na Qatar kwa kuwafanya ku "extend an olive branch" katika mustakabali mzima wa mashariki ya kati.

Chini ni picha Rais Membe akimwaga balozi wa Saudi Arabia aliyemaliza muda wake ndugu Hani Abdullah alipokuwa waziri wa mambo ya nje awamu ya 4

View attachment 914182
Kumbe angekuwa...nilijua akiwa.

Ngoja twende na kasi ya baba Jesca....tunyooke baadae ndo tuweke wengine.
 
Rudia kusoma upya mkuu..binafsi namkubali Membe zaidi

Sisi vijana wafia-chama wa ccm tunasema
#2020MEMBE FOR PRESIDENCY
Wachokozi nyie, mmeamua kumjaribu asiyejaribiwa? Mnataka shinikizo la damu lipande? Wachokozi sana nyie😵
 
Membe hana impact yoyote ile ndani ya CCM au nje ya CCM, Magufuli ataendelea kuwa Rais mpaka 2025.
Kama atakua hai na mwenye akili timamu. kashaanza kujiita kichaa na katiba yetu tukufu haitoi nafasi kwa vichaa kutwaa madaraka ya urais.
 
Membe anafaa kuliongoza taifa hili tuko nyuma yake✔
 
Hakika Membe Katuunganisha Bavicha Na Uvccm Membe Ni Mpango Wa Mungu
 
Nyuzi kuhusu Bernard Membe na Urais zinashamiri sana siku hizi. Ngoja niwe msomaji, mtazamaji wa mambo jinsi yanavyokwenda.
 
Wadau tupeane hoja makini hapa.Unadhani Membe angekuwa Rais leo angechukua hatua gani sala la Korosho!? Tungefika hapa tulipo leo!?
 
Ila mambo mengine ni ya ajabu sana, kwa katiba yetu iliyompa madaraka makubwa sana Rais halafu bado watu 14 tu wanamrudisha nyuma kama hizo taarifa ni za kweli basi tuna Rais mchovu na dhaifu sana kupita maelezo.

Huyo huyo aliyefanywa kuwa Mungu analalamika mambo ni magumu
 
Kwenye hili sitii neno,staki kununua ugomvi usionihusu,nafuatilia tu kwa karibu hili picha.
 
Huyo huyo aliyefanywa kuwa Mungu analalamika mambo ni magumu
Cha ajabu analalamika urais ni mgumu sana ila bado anampango wa kugombea tena 2020. Kama mambo ni magumu apishe wenye pumzi wapige kazi. Analalamika chai ya moto halafu anaendelea kunywa
 
Back
Top Bottom